DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Vipi na upande WA pili wale wanaosimamia kesi yake?Kupitia Lissu nimekuwa inspired Sana kuhakikisha tunasomesha Sana watoto wetu katika Shule bora na kuwatafutia Exposure.
Maana jamaa Ana kichwa kimetulia Sana .
Ile kusema atajitetea lengo lake lilikuwa kubwa Sana .
Wale kiukweli bado Sana . sijui Shule za kata zimewaharibu.Vipi na upande WA pili wale wanaosimamia kesi yake?
Unaonaje elimu kupitia Wao?
unamaanisha kama Hawa hapa?Vipi na upande WA pili wale wanaosimamia kesi yake?
Unaonaje elimu kupitia Wao?
Sasa itakuwaje watoto WAko wakiwa ndo upande( wameajiriwa) wa serikal?Wale kiukweli bado Sana .
😄😄😄😄😄 Ndio
Sasa itakuwaje watoto WAko wakiwa ndo upande( wameajiriwa) wa serikal?
Elimu utaionaje?
Ahaaaa
Sure.........✍️Kupitia Lissu nimekuwa inspired Sana kuhakikisha tunasomesha Sana watoto wetu katika Shule bora na kuwatafutia Exposure.
Maana jamaa Ana kichwa kimetulia Sana .
Ile kusema atajitetea lengo lake lilikuwa kubwa Sana .
Mimi ni wakili wa hapa na pale.Ponjoro wa Kinondoni ulijificha wapi leo ili watu wasione uwezo wako mahalsmani?
Jiwe walilolikaa waashi ,Lissu ni nguzo ya Taifa
Yaani walimtenga na mawakili wake halafu na yeye kawaingiza kwenye mfumo na wamejaa kwenye mfumo wake.