antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kama unakidhi vigezo unaweza kusoma na kuhitimu kirahisi tu kupitia OUTHii elimu ya sheria itabidi nijifunze nje ya mfumo rasmi wa elimu, maana sipo shuleni na chuoni, ni kujisomea mwenyewe kupata maarifa haya angalau A, B, C za sheria nizijue