Kupitia Lissu unaona kabisa kuna raha ya kuwa na Elimu

Kupitia Lissu nimekuwa inspired Sana kuhakikisha tunasomesha Sana watoto wetu katika Shule bora na kuwatafutia Exposure.

Maana jamaa Ana kichwa kimetulia Sana .

Ile kusema atajitetea lengo lake lilikuwa kubwa Sana .
Shule gani hapo! Shule ya sheria au shule ya nini? Tundu Lissu hajui Economics ambayo ndiyo nguzo kuu ya kuendesha nchi, uchumi wake na sekta zake zote. Lakini hiyo siyo hoja hapa. Sasa elimu unayoisema ni ipi? Usichanganye ukiwa unatetea UONGO na ukiwa unatetea UKWELI. Hapo ndipo umeshindwa kuona tofauti. Sheria ni zile zile ila ukitetea UONGO ndipo unaonekane KILAZA. Watu wanazo elimu kubwa tu kwenye maeneo yao.
 
Mkuu mbona hueleweki unaongea nini?
 
Mi si mwanasheria na niko nje ya mfumo rasmi wa elimu kuweza kusomea sheria. Nimevutiwa sana kuipenda fani ya sheria kutokana na mheshimiwa Lissu anavyochambua vifungu vya sheria na kuwaacha hoi washitaki wake. Tena anajitetea mwenyewe kishujaa, ingekuwa miaka inarudi nyuma ningeanza kusoma sheria nikiwa shule ya msingi hata kama hakuna silabasi huko. Labda nianze kujisomea vitabu vya sheria nikiwa nje ya shule rasmi nifahamu elimu hiyo hata hatua ya awali tu inatosha
 
Hivi Lissu anaona yeye ni nani mpaka amwambie hakimu, wape amri hawa mawakili wa jamhuri.
 
Kupitia Lissu nimekuwa inspired Sana kuhakikisha tunasomesha Sana watoto wetu katika Shule bora na kuwatafutia Exposure.

Maana jamaa Ana kichwa kimetulia Sana .

Ile kusema atajitetea lengo lake lilikuwa kubwa Sana .
Umeona eeh!? Sasa compare na yule aliyempa kesi utajua kwanini afrika hatujaendelea mpaka leo.
 
Shule gani hapo! Shule ya sheria au shule ya nini? Tundu Lissu hajui Economics ambayo ndiyo nguzo kuu ya kuendesha nchi, uchumi wake na sekta zake zote. Lakini hiyo siyo hoja hapa. Sasa elimu unayoisema ni ipi? Usichanganye ukiwa unatetea UONGO na ukiwa unatetea UKWELI. Hapo ndipo umeshindwa kuona tofauti. Sheria ni zile zile ila ukitetea UONGO ndipo unaonekane KILAZA. Watu wanazo elimu kubwa tu kwenye maeneo yao.
Asante kwa kuchangia. Jaribu tena wakati mwingine baada ya kuzisoma comments za wengine.
 
Mi si mwanasheria na niko nje ya mfumo rasmi wa elimu kuweza kusomea sheria. Nimevutiwa sana kuipenda fani ya sheria kutokana na mheshimiwa Lissu anavyochambua vifungu vya sheria na kuwaacha hoi washitaki wake. Tena anajitetea mwenyewe kishujaa, ingekuwa miaka inarudi nyuma ningeanza kusoma sheria nikiwa shule ya msingi hata kama hakuna silabasi huko. Labda nianze kujisomea vitabu vya sheria nikiwa nje ya shule rasmi nifahamu elimu hiyo hata hatua ya awali tu inatosha
Kwenye sheria kitu muhimu ni ushahidi ndiyo maana unaona mawakili wa serikali wanonekana wanababaisha mpaka mnawaona kama elimu yao ni pungufu kuliko Lissu kwa sababu wako hapo kutetea shauri ambalo USHAIDI wake haupo au HAWANA. Hapo elimu ya sheria haipo. Kwa wale waliowahi kuhudhuria mashauri yaliyomhusu MCHUNGAJI MTIKILA mahakamani wanakumbuka alivyokuwa anajitetea kwa sababu ya USHAHIDI wake ulivyokuwa wazi wakati hakuwa na elimu ya sheria. Elimu zote ni muhimu usije kujidanganya.
 
Shule gani hapo! Shule ya sheria au shule ya nini? Tundu Lissu hajui Economics ambayo ndiyo nguzo kuu ya kuendesha nchi, uchumi wake na sekta zake zote. Lakini hiyo siyo hoja hapa. Sasa elimu unayoisema ni ipi? Usichanganye ukiwa unatetea UONGO na ukiwa unatetea UKWELI. Hapo ndipo umeshindwa kuona tofauti. Sheria ni zile zile ila ukitetea UONGO ndipo unaonekane KILAZA. Watu wanazo elimu kubwa tu kwenye maeneo yao.
Vidonge vya Loperamide vitakusaidia kufunga kuharisha.
 
Hivi Lissu anaona yeye ni nani mpaka amwambie hakimu, wape amri hawa mawakili wa jamhuri.
Hapo Lissu alikuwa anabahatisha ndiyo maana mheshimiwa hakimu akamwambia hakuna kifungu chochote cha sheria (hata Lissu hakukitaja) kinacho support hayo maombi au madai yake na hakimu kuyatupilia mbali maombi yake.
 
Njia za MUNGU hazichunguziki maana wenyewe serikali waliona kumtuliza lissu ni kumfunga jela kumbe hukohuko mahakamani anahutubia taifa na kufanya kampeni yake ya no reforms no election.....unaziba upande huu na MUNGU anafungua njia Kwa upande mwingine, kubishana na lissu ni kumpa Kiki za bure tu
 
Hii elimu ya sheria itabidi nijifunze nje ya mfumo rasmi wa elimu, maana sipo shuleni na chuoni, ni kujisomea mwenyewe kupata maarifa haya angalau A, B, C za sheria nizijue
 
Back
Top Bottom