Kupitia Lissu unaona kabisa kuna raha ya kuwa na Elimu

Hii elimu ya sheria itabidi nijifunze nje ya mfumo rasmi wa elimu, maana sipo shuleni na chuoni, ni kujisomea mwenyewe kupata maarifa haya angalau A, B, C za sheria nizijue
Kama unakidhi vigezo unaweza kusoma na kuhitimu kirahisi tu kupitia OUT
 

Lkn pia kupitia Yeye unagundua Shida ya Nchi hii Ni utamaduni mbaya na Sio Sheria kwa kiasi kikubwa, Kwasababu kuna sheria nzuri ambazo zina kua misused kwa utamaduni wetu mbovu wa kuto fata sheria
 
Bora wangemuachia tu wanazidi kumpa hype bila kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…