Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Maranyingi kama mtu unakaa mahali tulivu na kufikiria.
Unajitathmini mwenyewe na kulinganisha maisha yako sasa na miaka 1/2 au zaidi iliyopita.
Unagundua kuna vizuizi vingi mno umeshindana navyo au umeviondoa kwenye maisha yako na unajipa pongezi.
Motisha ya kuendelea kupambana na maisha inakujia ila ndio hivyo tena changamoto zinaendelea kukukabili.
Tuendelee na tuwepo kwenye mapambano, ndugu yangu bado hatuna mwisho sahihi.