Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
ni kupambana tu kwa bidii bila kukata tamaa. Milima na mabonde tunayokumbana nayo juzi, leo au kesho iwe ni fursa ya kuongeza maarifa na nguvu zaidi ya kupambana...Maranyingi kama mtu unakaa mahali tulivu na kufikiria.
Unajitathmini mwenyewe na kulinganisha maisha yako sasa na miaka 1/2 au zaidi iliyopita.
Unagundua kuna vizuizi vingi mno umeshindana navyo au umeviondoa kwenye maisha yako na unajipa pongezi.
Motisha ya kuendelea kupambana na maisha inakujia ila ndio hivyo tena changamoto zinaendelea kukukabili.
Tuendelee na tuwepo kwenye mapambano, ndugu yangu bado hatuna mwisho sahihi.
Hakika tunapambana πͺni kupambana tu kwa bidii bila kukata tamaa. Milima na mambindo tunayokumbana nayo juzi, leo au kesho iwe ni fursa ya kuongeza maarifa na nguvu zaidi ya kupambana...
Na kwa Neema na Baraka za Mungu, ataonyesha njia, na kufanya wepesi palipo pagumu na hatimae kufikia tamaa, nia, haja na malengo ya mioyo yetu π
Maranyingi kama mtu unakaa mahali tulivu na kufikiria.
Unajitathmini mwenyewe na kulinganisha maisha yako sasa na miaka 1/2 au zaidi iliyopita.
Unagundua kuna vizuizi vingi mno umeshindana navyo au umeviondoa kwenye maisha yako na unajipa pongezi.
Motisha ya kuendelea kupambana na maisha inakujia ila ndio hivyo tena changamoto zinaendelea kukukabili.
Tuendelee na tuwepo kwenye mapambano, ndugu yangu bado hatuna mwisho sahihi.
ni kupambana tu kwa bidii bila kukata tamaa. Milima na mambindo tunayokumbana nayo juzi, leo au kesho iwe ni fursa ya kuongeza maarifa na nguvu zaidi ya kupambana...
Na kwa Neema na Baraka za Mungu, ataonyesha njia, na kufanya wepesi palipo pagumu na hatimae kufikia tamaa, nia, haja na malengo ya mioyo yetu π