Uchaguzi 2020 Kupitia miundo mbinu iliyojengwa na Serikali ya Magufuli, CHADEMA wanafanyia kampeni

Uchaguzi 2020 Kupitia miundo mbinu iliyojengwa na Serikali ya Magufuli, CHADEMA wanafanyia kampeni

Hivi na wewe ni mmoja wa vijana walioteuliwa na Bashiru kujibu mapigo ya wapinzani mitandaoni?
 
Tatizo la Magufuli ni kuamini kwamba miundombinu ni mali yake yeye na chama chake, na hiyo hupelekea kuchukia anapoona wasiomuunga mkono wanaitumia.

Pia hakuna serikali yoyote ile katika dunia hii ambayo haijengi miundombinu. labda tatizo la kutokusafiri na kutokujifunza toka kwa viongozi wenzake ktk nchi nyingine ndiyo kumepelekea Magufuli kuamini kuwa miundombinu ni mali yake yeye na chama chake.
Ukinunua LUKU au ukinunua petrol/diesel katika risiti utakayopewa angalia breakdown yake kisha rudi tena hapa.
 
Miudombinu ni ya watanzania. Tatizo ni kuandika mada as if mheshimiwa alitoa hiyo pesa mfukoni kwake.
Tatizo Magufuli mwenyewe anaamini kwamba hizo hela ni zake binafsi. Ndio maana amedirikivkujijengea wanja la ndege kwao, na ndo mana anagawia watu ovyo mabarabarani
 
Tatizo la Magufuli ni kuamini kwamba miundombinu ni mali yake yeye na chama chake, na hiyo hupelekea kuchukia anapoona wasiomuunga mkono wanaitumia.

Pia hakuna serikali yoyote ile katika dunia hii ambayo haijengi miundombinu. labda tatizo la kutokusafiri na kutokujifunza toka kwa viongozi wenzake ktk nchi nyingine ndiyo kumepelekea Magufuli kuamini kuwa miundombinu ni mali yake yeye na chama chake.
Unataka Urithi au
 
Ina maana upinzani kapla ya JPM walifanyia wapi kampeni zao.?
 
Tatizo Magufuli mwenyewe anaamini kwamba hizo hela ni zake binafsi. Ndio maana amedirikivkujijengea wanja la ndege kwao, na ndo mana anagawia watu ovyo mabarabarani
Ungepewa wewe ungekataaa Acheni Unafki kawapa watanzania wenzenu hajawapa wazungu
 
Ina maana upinzani kapla ya JPM walifanyia wapi kampeni zao.?

..unajua haya maneno muanzilishi wake ni Magufuli mwenyewe.

..fuatilieni hotuba zake tangu akiwa waziri ktk serikali ya awamu ya 4.
 
Acha ujinga,karibu kutumia akili hata za Darasa la nne. Miundombinu inajengwa kwa Kodi za watanzania,million 55,hazijengwi kwa michango ya Wana ccm...
Utopolo ni kudhani unajua kumbe hujui. Halafu unajichanganya kishenzi yaani. Ok tuanze na paragraph yako ya mwisho kwenye reply; eti hao watumishi wa umma ulosema wanajenga miundombinu wanajenga kwa kufuata maelekezo ya nani?

Serikali iliyopo madarakani ndio inatoa maelekezo. Chama kilichopo madarakani ndicho kinachosebika kutimiza ilani yake kwa maelekezo yanayotolewa na Raisi kwa watumishi wa umma. Hivyo basi ni dhahiri bila maagizo ya Magufuli hyo miundo mbinu isingejengwa.

Usikaze ubongo sana kwenye kufikiri utashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivi
 
Kwani hiyo miundombinu imejengwa kwa pesa za magufuli? Hizo ni kodi za wananchi na ni wajibu wa serikali kujenga miundombinu na kusimamia maendeleao ya nchi kwa kupitia kodi za wananchi

Mataga akili zenu sijui zinakua wapi
 
Utopolo ni kudhani unajua kumbe hujui. Halafu unajichanganya kishenzi yaani. Ok tuanze na paragraph yako ya mwisho kwenye reply; eti hao watumishi wa umma ulosema wanajenga miundombinu wanajenga kwa kufuata maelekezo ya nani?...
Hakuna serikali isiyojenga miundombinu.

Hata serikali dhalimu kama za kikoloni zilijenga miundombinu.

Miundombinu ni ya taifa zima, na siyo miliki ya Raisi au Chama Tawala.
 
Tofauti na Nchi nyingine Duniani zenye siasa ya Vyama vingi, Tanzania ndo Nchi pekee ambayo Vyama vikuu vya Upinzani havijui dhana halisi ya Upinzani. Vyama hivi Vikuu Kama CHADEMA, CUF, ACT, na NCCR Mageuzi vimekuwa Vyama vya *"UPINGAJI"* kuliko kuwa Vyama vya Upinzani....
Rekebisha kichwa cha habari yako,andika serikali ya Tanzania na siyo ya Magufuli.Pili,hatupingi kila kitu kama unavyoamini, kinachopingwa ni mbinu mnayotumia kuanzisha na kutekeleza huyo miradi mnayojisifia. Miradi huyo inafanywa kwa kodi za Watanzania wote bila kujalisha vyama vyao.Pia hatujawahi kupinga Ujenzi wa vituo vya afya Bali ni vichache mno kulinganisha na mahitaji,hivyo vituo vina uhaba mkubwa wa watoa huduma pamoja na dawa na vifaa tiba.

Kuhusu elimu,Sera ya elimu bure nilikuwa ya vyama mbadala ila jinsi mnavyoitoa kiholela bila kuzingatia uhitaji,haina ubora na waalimu hawatoshelezi kutokana na kukosekana kwa ajira na waalimu waliopo hawana motisha,miundo mbinu mibovu napungufu mno.

Kwenye miundo mbinu,tunakubali kuwa tunahitaji reli.Tulitakiwa kuifanyia maboresho TAZARA ambayo kimsingi ni sgr,kuweka miundo mbinu ya umeme,kuipa mabehewa ya kisasa ya abiria&mizigo ili kuiongzea ufanisi.Reli ya TRC ingekarabatiwa,kuipa vichwa vya kutosha na mabehewa ya aina zote halafu mapato yake yajenge sgr.

Suala LA umeme lilishatatuliwa kwa kujenga bombs LA gas toka Msimbati hadi Kinyerezi lakini mkarukia Nyerere Hydo Electronic Dam kabla ya kuitumia gas kuzalishia umeme rahisi.Tuna Coal,Geothermal na Wind or Sea Current Electronic generators. Tuna ng'ombe wa kuweza kutuzalishia Bio Gas ya kumwaga.

Watanzania siyo wajinga,tulitaka sana kuwa na ndege zetu ila jinsi mlivyozinunua ni kama mnakimbilia 10% ya manunuzi ya Cash Money. Mnavunja sheria za manunuzi mlizotunga wenyewe kwa ajili ya kujimwambafy kuwa nchi ni tajiri!Duniani kote ndege zinanunuliwa kwa mikataba na biashara huyo hufanywa na sekta binafsi kwa ubia na serikali.

Hii serikali mnayoiita ya CCM au Magufuli ni yetu sote,tufuate taratibu na kutendeana Hali ili tuendelee.Ubaguzi mnaoufanya hautupeleki kokote.

Sisi mnaotuita wapinzani na Mh.Lissu tuna haki zetu na ni Watanzania wenzenu hivyo tunatakiwa kufaidi matunda na mema ya nchi hii.
Tunamwaga Pombe na machicha yake yote.Mnabisha?
 
We mbwa kua na akili hata kidogo basi.

Hiyo miundo mbinu haijajenga serikali ya ccm wamejenga watz kwa kodi wanzolipa na madeni makubwa yaliyoongezeka ktk awamu hii ya kifisadi.

Wakoloni walijenga miundombinu mizuri na imara zaidi ya hii feki
 
Tatizo la Magufuli ni kuamini kwamba miundombinu ni mali yake yeye na chama chake, na hiyo hupelekea kuchukia anapoona wasiomuunga mkono wanaitumia.

Pia hakuna serikali yoyote ile katika dunia hii ambayo haijengi miundombinu. labda tatizo la kutokusafiri na kutokujifunza toka kwa viongozi wenzake ktk nchi nyingine ndiyo kumepelekea Magufuli kuamini kuwa miundombinu ni mali yake yeye na chama chake.
Harafu eti magufuli ni PhD holder,yaani Tanzania Ina bahati mbaya sana
 
Tatizo la Magufuli ni kuamini kwamba miundombinu ni mali yake yeye na chama chake, na hiyo hupelekea kuchukia anapoona wasiomuunga mkono wanaitumia.

Pia hakuna serikali yoyote ile katika dunia hii ambayo haijengi miundombinu. labda tatizo la kutokusafiri na kutokujifunza toka kwa viongozi wenzake ktk nchi nyingine ndiyo kumepelekea Magufuli kuamini kuwa miundombinu ni mali yake yeye na chama chake.
Kodi hawalipi ccm pekeyao
 
Tatizo la watu kama wewe ni aidha elimu ndogo au hujatembea au vyote.

Mugabe (Rip) aliwahi kusema "To appload a politician because he has built a School, Hospital or Road using the public money is the same as congratulating an ATM machine for giving you your money".

Sasa mpaka hapo unaweza kuona ulivyo mjinga (Ignorant). Ccm hamna chochote cha maana walichokifanyia nchi hii.
 
Acha ujinga wewe kwani walipa kodi Nchi hii ni maccm peke yao? Tangazeni hadharani kwamba kuanzia sasa mtakusanya kodi kwa maccm tu halafu tuone kama mtaweza kuendesha Serikali hata kwa mwezi mmoja tu.

Tofauti na Nchi nyingine Duniani zenye siasa ya Vyama vingi, Tanzania ndo Nchi pekee ambayo Vyama vikuu vya Upinzani havijui dhana halisi ya Upinzani. Vyama hivi Vikuu Kama CHADEMA, CUF, ACT, na NCCR Mageuzi vimekuwa Vyama vya *"UPINGAJI"* kuliko kuwa Vyama vya Upinzani....
 
Tofauti na Nchi nyingine Duniani zenye siasa ya Vyama vingi, Tanzania ndo Nchi pekee ambayo Vyama vikuu vya Upinzani havijui dhana halisi ya Upinzani. Vyama hivi Vikuu Kama CHADEMA, CUF, ACT, na NCCR Mageuzi vimekuwa Vyama vya *"UPINGAJI"* kuliko kuwa Vyama vya Upinzani...

Kwahiyo Chadema wakifanya kampeni wananchi ndo wanakuwa wamepata maendeleo si ndiyo maana Nyerere alisema maendeleo ni ya watu siyo ya vitu au Nyerere aliongopa
 
Back
Top Bottom