Kupitia mwamba Rudiger ndani ya mask machoni nawatakia Chelsea ushindi mnono usiku wa leo Uefa

Kupitia mwamba Rudiger ndani ya mask machoni nawatakia Chelsea ushindi mnono usiku wa leo Uefa

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!

Namkubali sana jamaa. Kupitia yeye Chelsea itanyakuwa Uefa championship.
p102380.png
IH2yaJbV6VfV_gph47r9xDj5E_1440x.960.jpg
 
Acha utani Mkaldayo.

Pep leo hatokamatika kabisa..wataupiga mwingi mno.
 
Unamjua kevin de bruyne ww
Yule zeruzeru hana lolote. Hana target golinikabisa. Yani wewe na akina kigogo sijui mtaficha wapi sura. Tuchel leo atadhiirisha msemo wake WE ARE BUILDING A TEAM WHICH EVERYONE WILL FEAR TO PLAY WITH
 
Back
Top Bottom