Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Habari za wakati huu wapambanaji na msio wapambanaji. Naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie katika hili hasa kupitia hii mifuko ya uwekezaji wa pamoja.
Ni kupitia mfuko gani wa UTT nitaweza kupata shilingi milioni 2 kila mwezi na kwa mtaji kiasi gani. Pia niliwahi kusikia unaweza kukopa bank kwa kupitia malipo haya ya kila mwezi.
Msaada wapambanaji
Ni kupitia mfuko gani wa UTT nitaweza kupata shilingi milioni 2 kila mwezi na kwa mtaji kiasi gani. Pia niliwahi kusikia unaweza kukopa bank kwa kupitia malipo haya ya kila mwezi.
Msaada wapambanaji