Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Naomba niongelee hapa sio kuwa naku attack Bali naongelea iyo Hali ya ubongo kila mtu anayo Ila inatakiwa ujue why una feel ivyo.Kwanza ukiingia bank wanakupa na chai na cake. Kuwa na hela raha sana
Yaani hao wamesoma economic behavioural,wanajua how human being do we behave financially or when money comes in line as Engineer understands how the materials like iron,concrete , asphalt and soil behave when subjected into heat,snow,rain or conditions that may affect them functionality.
The same hao jamaa wamesoma how to play with your limbic brain /emotions minds. Najua huwezi nielewa kwa normal brain Ila you need another eye to see into what am talking.
Sasa hapo wanacheza na your limbic brain especially amygdala ambayo Ina bypass information into thinking brain so unakuwa unaamuwa emotionally na usikute unawekewa na mwanamke hapo bonge la kifaa mazafaka sketi iko juu ya goti na paja jeupe lazima udindidindiii, titi Ilo limekubali even hata Plastic surgery liko saa sita na akaku hug ama mkakaa naye kwa sofa la watu wawili Mara hapo Kuna tv Ina movie ama nyimbo matata laini hata Celine Dion. Mtt ananunua perfume anaonekana Kama anajikomba kwako ili akufahamu anakujaza hapo kuwa unaonekana kuwa wewe Ni hard worker let say Johnson,una kazi nzuri anakuwa anakusifiasifia na kukushika bega smt.
Sasa wakisha trigger emotion fulani ndani ya ubongo wako ambayo Ni kutokana bodychemistry ambayo inakufanya unakuwa na rah,furaha mno ,unajisikia kuwa wewe ndiye kidume umependwa umeshobokewa na mtt mkali na kishakuomba namba ama amekuomba business kadi.
Iyo chemical inaitwa dopamine ambayo inakufanya una feel euphoria yaani kuwa euphoria Ni kuwa juu ya dunia ,you can walk on the water, you're better than any human being.
So iyo euphoria inafanya kazi yake inachochea na wewe unakuwa na ego Tena Ile ya kujiona kidume kuwa umeyawezea maisha u mjanja na mwerevu kuliko Elon Musk ama adani Kama sio Jeff Benzos.
Sasa ukishakamatwa na hizo two human emotions huchomoki nakuapia niga. Utashangaa umepewa interests ndogo mno even ya 4-8% per year. Unawapa hizo 500M kiulaini na huku ukapewa viji incentives fulani like crdb/nmb hat,tisheti,begi,kalamu,kikombe,n.k huku na maneno kedekede just to feed your ego those words are fodders to filll your bank accounts of your ego and euphoria yako lakini huku wao waki fill their bank accounts za hela wewe una fill bank account of your emotions ndugu. Hili Ni kweli tupu.
Sasa si umewapa hela kwa kukufanya uwe kidume na mtt mkali anapiga marashi ambayo Ana Oda uk direct yanakuja na flight yaani utadhani yametoka kuzimu na umekaa room iliyo na ac na air fresh yenye harufu nzuri kwa ajili ya ku trigger your stressors/organs sensory zako.
Baadaye wanapata lijamaa moja wanalitembelea lenye assets na cash flow ya Mana na huyo huyo mdada Tena wanaweza wakamfuata na v8 wakamshawishi Kuna 500M jaza fomu uchukue hela tupatie 15- 20% interest kwa mwaka.
Sasa cheki wenzako waliosoma unadhani walienda kuuza sura chuo na kuwaza deodorant
We we unapewa 5/100 times 500M kwa mwaka unakitu like 25M tow 10% withholding tax bet yako Ni 22.5M ukigawa kila mwezi almost wanakuwa wanakupa kitu Kama 22.5/12 =1.875M.
Wao net yao Sasa kwa aliyekopeshwa tuje 15/100 times 500M wanayo 75M wakitoa ya kwako 25 wanabakia na 50M. Kwa miaka mitano wanayo 250M almost half bilioni huku wewe unayo 125M.
Sasa cheki ilo gepu kwa ujinga wako wa kupewa chai or tangawizi ya asali na keki ama na biscuits za asa mour. Gharama zake wewe umepoteza nyingi wao wanapata nyingi.
Financial literacy imefichwa kwa wachache mno.
Elewa Kuna automatic maneuvering among ourselves,bear in your mind people eats people always. We're no any different from how predator kills and eats prey. So where are you in financial chain are you prey or predator. Kuwa predator you've to be strong both mind, mental and brain.
Naomba mno nipate billions of dollars niajiri watu yaani Basi tu wafanyakazi wangu watakuwa wananifurahia wanagkmbania Kuja kufanya kazi kwangu.
Mana I know what people need.
So usijione kuwa u mjanja ama Ni Raha kumbe Ni vice versa. Wao wanapeleka watt wao uk Sydney Madrid Paris kusoma wa kwako unapeleka kwa mtoghole tandika wanaishia udsm unajiona u kidume.