Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
- Thread starter
- #61
Can you justify your statement?You are wasting time.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can you justify your statement?You are wasting time.
Bond fund wanakupa 1% ya pesa yako kila mweziKwa rate ya sasa hivi baada ya miaka 10 nachukukua sh ngapi jumla
Biashara sio matako Kwamba kila mtu anaweza akawa nayo.Samahani .hizo ni biashara kichaa
Inafanana na fixed account
Mara 100 hata ukajenga lodge au nyumba za kupanga
Nimecheck na calculator majibu ni utakuwa na 741MKwa rate ya sasa hivi baada ya miaka 10 nachukukua sh ngapi jumla
Kuna bond za utt pia unaweza kuanza hata na 50000Bond unakopesha bot wanakuwa wanakulipa riba. Tena riba yao iko POA like 13%
Inashuka thamani How?Wekeza ktk real estate na weka benki kiasi kidogo cha dharura. Real estates (majengo ya kupangisha,mashamba, viwanja n.k) hapo ndipo thamani ya pesa huwa haishuki.
Ila unapowekeza kwenye hiyo mifuko kwanza una risk pesa yako kukatwa kodi, kushuka thamani n.k kumbuka 200m ukiiweka leo kwenye hizo fixed accounts au bonds ukija kuitoa inakuwa imeshashuka thamani.
Inflation risk, its lower return will not keep pace with inflationInashuka thamani How?
Watu wanadhani kuwa kuwekeza katika government bonds hakuna hasara. Haahaaahii UTT haina tofauti na hisaa ukiwekeza milion 10 ukinunua vipande thamni ya kipande ikishuka inaahuka na thamani ya mtaji wako kama uliweka milion 10 unaweza kujikuta una milion 9 kama ukitokea thamani ya kipande imeshuka.
Unapata wapi ujasiri wa kusema thamani ya bond inashuka?Sina elimu yoyote
Unapata wapi ujasiri kusema thamani yake haishuki?! Tuanzie hapoUnapata wapi ujasiri wa kusema thamani ya bond inashuka?
Kuna bond za utt pia unaweza kuanza hata na 50000
Bro I don't know if am sure what am going to talk but correct me if am wrong.Bond haishuki thamani nikama fixed mnakua na mkataba tayari wakupata asilimia mlizokubaliana
Duu mkuu bado uko biased in that way if Winning is possible even losses is possible ama nakosea. Hii makitu ama biashara zote Zina faida na hasara you can't separate losses fr business or na faida Ni sawa na usiku na mchana.winning possible
it depends on how much the 10 billion will grow in value in the marketBro I don't know if am sure what am going to talk but correct me if am wrong.
Bond umenunua ya miaka 25/30 umeipa serikali ama USA government bond kitu Kama Bilioni kumi hela za kwetu,najua watakuwa wanakupa riba Ile semi/quarterly annually.
Sasa swali langu Ina Mana hii value ya 10bn ya Sasa hivi Ni sawa na watakayokuja kukurudishia even after 5/10years?
Do you get me
Kwa bond Ni hela unawakopesha Ila watakuwa wanakupa faida sema labda ukinunua stocks/shares za kampuni otherwise hujajua ama mie sijui bond Ni Nini labda tuanze what's bond ,notes,bills,stocks,shares,it depends on how much the 10 billion will grow in value in the market
Ukizungumza kwa mwelekeo huo,ni kwamba kila asset ina some form of risk.Inflation risk, its lower return will not keep pace with inflation