Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Haswaa, inahitajika sio chini ya milioni 200.Hapo sio chini ya million 200
Mfuko gani unaweza kuwa mzuriHapo sio chini ya million 200
Mbona kama vile umeenda tofauti na nilivyouliza. Wanakata hiyo pesa wao wakiwa wamenipa/kunikopa kiasi ganiKwa hesabu za haraka haraka ni miezi 100 ndio utaanza kula profit.
Ni miaka Nane na ushee hivi...tuseme umepata mkopo kutoka CRDB rate 13%
Utabidi uwalipe CRDB 2,260,000 Kwa mwezi ili ku pay off kwa miaka nane.
Roughly utakuwa unalipia laki tatu kwa mwezi--lakini matunda yako utayala baada ya miaka 8.
Bora ku-invest kwenye asset tangible kama viwanja---kwa mtaji huo.
Kila la kheri.
Mifuko yote mizuri ukiwa na million 500. Ata fixed deposit nzuri tuu ukiwa na million500. Kwanza ukiingia bank wanakupa na chai na cake. Kuwa na hela raha sanaMfuko gani unaweza kuwa mzuri
Habari za wakati huu wapambanaji na msio wapambanaji. Naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie katika hili hasa kupitia hii mifuko ya uwekezaji wa pamoja.
Ni kupitia mfuko gani wa UTT nitaweza kupata shilingi million 2 kila mwezi na kwa mtaji kiasi gani. Pia niliwahi kusikia unaweza kukopa bank kwa kupitia malipo haya ya kila mwezi.
Msaada wapambanaji
Unaweza ku-share analysis kati ya mapato ya nyumba za kupangisha na mapata yatokanayo na UTT?Samahani .hizo ni biashara kichaa
Inafanana na fixed account
Mara 100 hata ukajenga lodge au nyumba za kupanga
Hahaa.. mkuu ndio tunahangaika kuzitafuta tukifika bank tutapewa heshima tuMifuko yote mizuri ukiwa na million 500. Ata fixed deposit nzuri tuu ukiwa na million500. Kwanza ukiingia bank wanakupa na chai na cake. Kuwa na hela raha sana
Kama hutojali tudadavulie kinagaubagaUkiwa na Bond Fund
Mtaji 200M
Kwa mwezi utapata hio 2M bila shida kabisaaa tena itakuwa inaenda inaongezeka
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Kwa rate ya sasa hivi baada ya miaka 10 nachukukua sh ngapi jumlaUkiwa na Bond Fund
Mtaji 200M
Kwa mwezi utapata hio 2M bila shida kabisaaa tena itakuwa inaenda inaongezeka
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Alooo ni parefuuMtaji Mill 200.
Mkuu sina hakika kama unazifahamu vizuri hizi bond fund?Wekeza ktk real estate na weka benki kiasi kidogo cha dharura. Real estates (majengo ya kupangisha,mashamba, viwanja n.k) hapo ndipo thamani ya pesa huwa haishuki.
Ila unapowekeza kwenye hiyo mifuko kwanza una risk pesa yako kukatwa kodi, kushuka thamani n.k kumbuka 200m ukiiweka leo kwenye hizo fixed accounts au bonds ukija kuitoa inakuwa imeshashuka thamani.
Karibu tujadili mkuuNarudi