Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

Hivi mfano umejenga nyumba ya ml 170 unaweza ukatoza Kodi kiasi gani kwa mwezi,na je utakua unafanya repair kiasi kila mwaka?
Na usikutane na mpangaji mchafu. Kila akiondoka unatumia gharama kubwa kukarabati nyumba. Pesa alizokulipa akiwa mpangaji almost zote unakuta umekarabati nyumba. Nyumba siyo reliable pia. Cha maana usiweke mayai yote kwenye kapu moja
 
So, kwa iyo bonds sio investment nzuri kiviile?
 
So, kwa iyo bonds sio investment nzuri kiviile?
Pili ili nipate tshs 500,000 monthly nitahitaji niwe na mtaji kiasi gani?(kote bot na utt)
Ipi ni better bonds za bot au za utt?
Thanks
 
Mzee baba umetisha sana..kwa muda wako dondosha andiko huku tuongeze maarifa
 
😂😂😂🙌🙌
 
✍️
 
I can call you mr.content
 
M
milioni 7 to milioni 100 per annum bilashaka usawa huu labda unauza unga😀😀
 
Ndiyo. Unaweza kulipa kidogokidogo. Kuna account inafunguliwa hata kwa sh 50000. Unaweza kuwa unawekeza hata kwa njia ya mitandao ya simu
Kwa njia ya mtandao wa simu sishauri mtu atumie njia hii kwa sababu ina makato, Mfano ukideposit 50000 sio chini ya 1000 service charge, hapo hapo kumbuka huko UTT mpaka hiyo 50000 ulioweka ije kuzalisha 1000 ni mziki kweli kweli inaweza ikachukua hata zaidi ya mwezi ,so wakatI wakufanya deposit kwenye account zako za UTT ni bora kutumia njia Bank kupitia account zako za Bank NMB au CRDB kwa simu banking kupitia menu au app hii njia haina makato kabisa especially ukitumia App na ni rahisi sana
Kumbuka UTT ina faida kwa malengo ya muda mrefu kuanzia 5 years kuendelea
 

Llquid Fund/Mfuko wa Ukwasi

Mtaji: 200,000,000. (Milioni Mia Mbili)
Faida: 1% monthly on average (12% annually). Inaweza kupanda au kushuka.
 
Asante
Inabidi kuweka miaka 20 au 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…