Mtuache
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 256
- 658
Serikali gani hio?Check recent bond rates, ni ndogo sana, ni kama 7% hivi. Rate huwa kubwa iwapo Serikali inahitaji fedha za dharura ili kutatua shida zake. Nje ya hapo TB huwa na rate slice haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali gani hio?Check recent bond rates, ni ndogo sana, ni kama 7% hivi. Rate huwa kubwa iwapo Serikali inahitaji fedha za dharura ili kutatua shida zake. Nje ya hapo TB huwa na rate slice haswa
Nilinunua kiwanja kigamboni Tsh 11M mwaka 2018 mpaka sasa miaka 4 natafuta hata wa kunirudishia gharama yangu sijampata, viwanja kwa sasa si deal kabisa, unaweza ukafa na shida ukiwa na kiwanja . They are not liquidWekeza ktk real estate na weka benki kiasi kidogo cha dharura. Real estates (majengo ya kupangisha,mashamba, viwanja n.k) hapo ndipo thamani ya pesa huwa haishuki.
Ila unapowekeza kwenye hiyo mifuko kwanza una risk pesa yako kukatwa kodi, kushuka thamani n.k kumbuka 200m ukiiweka leo kwenye hizo fixed accounts au bonds ukija kuitoa inakuwa imeshashuka thamani.
Hizi ni rate za BOT za mnada wa Sept 2022.Check recent bond rates, ni ndogo sana, ni kama 7% hivi. Rate huwa kubwa iwapo Serikali inahitaji fedha za dharura ili kutatua shida zake. Nje ya hapo TB huwa na rate slice haswa
not that persuasiveHizi ni rate za BOT za mnada wa Sept 2022.View attachment 2376609
Kipo maeneo gani?Nilinunua kiwanja kigamboni Tsh 11M mwaka 2018 mpaka sasa miaka 4 natafuta hata wa kunirudishia gharama yangu sijampata, viwanja kwa sasa si deal kabisa, unaweza ukafa na shida ukiwa na kiwanja . They are not liquid
still worth it!not that persuasive
Mkuu ukipata wasaa ukumbuke dm yanguWatu wenye mahela mengi sijui kwanini huwa akili zao hazina akili,sijui kwakweli.
Mil 200 nisubiri faida ya 2m kwa mwezi,mweeeh Bana eeh hela sio zangu mimi inanikereketa nini kama sio kiherehere tuu...
Kabisa mkuu. Kuuza kiwanja au nyumba kwa bei unayatoka wewe ni lazima uwe na subira. Lakini kama upo kwenye wakati mgumu utauza mwa bei ya kutupa tuuNilinunua kiwanja kigamboni Tsh 11M mwaka 2018 mpaka sasa miaka 4 natafuta hata wa kunirudishia gharama yangu sijampata, viwanja kwa sasa si deal kabisa, unaweza ukafa na shida ukiwa na kiwanja . They are not liquid
nishaijibu bossM
Mkuu ukipata wasaa ukumbuke dm yangu
Watu wenye mahela mengi sijui kwanini huwa akili zao hazina akili,sijui kwakweli.
Mil 200 nisubiri faida ya 2m kwa mwezi,mweeeh Bana eeh hela sio zangu mimi inanikereketa nini kama sio kiherehere tuu...
Mbona compound interest haiko hivyoCompound interest: mfano capital ni 10million na interest ni 14% kwa mwaka umeweka bond Fund au liquid Fund utapata 140,000/= mwaka wa kwanza kwa hiyo capital plus interest itakuwa 11,400,000/=
Mwaka wa pili capital yako itakuwa 11,400,000/= interest 14% ......... endelea ku calculate hapo
Mwaka wa tatu nakuendelea.
Mbona compound interest haiko hivyo
Unaweza ku-share analysis kati ya mapato ya nyumba za kupangisha na mapata yatokanayo na UTT?
Hivi mfano umejenga nyumba ya ml 170 unaweza ukatoza Kodi kiasi gani kwa mwezi,na je utakua unafanya repair kiasi kila mwaka?Unaweza ku-share analysis kati ya mapato ya nyumba za kupangisha na mapata yatokanayo na UTT?
Platform gani unatumia inayokubali wabongo?Hakuna asset ambayo ni risk free kasoro bond.
Kwa mimi namshauri mtu kununua hisa za makampuni ya USA (apate elimu kwanza) kuliko kununua hisa sijui za voda au jatu ambazo ukitaka kuziuza unakosa wateja
Hivi mfano umejenga nyumba ya ml 170 unaweza ukatoza Kodi kiasi gani kwa mwezi,na je utakua unafanya repair kiasi kila mwaka?
Tena ni 1.7 ndio nilikua nataka nimpe maelezo Kama haya Tena ukitaka pesa yako unapata haraka kuliko nyumbaKumbuka UTT ukiwekeza hiyo m170 utakua unapata gawio la 1.5m Kila mwezi. Hakuna kurepair nyumba, cjui risk ya nyumba kuungua au kupigazana kelele na kuzungushana nda wapangaji kulipia. Pia kumbuka hiyo 170m itakua inaongezeka thamani pia
Kupanga ni kuchagua.
Tena ni 1.7 ndio nilikua nataka nimpe maelezo Kama haya Tena ukitaka pesa yako unapata haraka kuliko nyumba
Samahani sana mkuu, baada ya kusoma hiz nondo zako naona kama majibu ya changamoto zangu yanakwenda kupatikana, naomba nikupm kama hutajaliOkay nimekueelewa mkuu
1. Una bond ya 200M inayotoa 12.56% per annum, coupon ni 25M per annum
2. mkopo wako ni 100-140M - rate negotiatable e.g 15% FOR 100-140M NI (15M - 21m roughly figures), so kwenye hesabu hapa naona umekosea kidogo
3. Kuna Mkopo wa Securities lOAN, basically unalipa kwa Coupon na sio monthly , Talk to your Bank Mteja ni Mfalme
4.Nimesema utajenga House ya 140M au 100 M na sio 200M , then kama wapenda exponential growth u can reinvest income from the house again to bonds (Buy new bonds) then use proceeds again wither to reinvest kwenye other business or consumption. Hii strategy growth yake ni Balaa.....
Mkuu unanifurahisha unaelewa chimbuko langu
Oligoi means Few +Arkhein means to Rule so OligoiArkhein few to rule >> ndani ya 19th Century ikawa Oligarchy ὀλιγαρχία.
Uhaya kidogo " miaka michache nyuma nkiwa kama Mshauri wa tajiri la kirussia nilikutana face to face kwa mara ya kwanza na Yuri Kovalchuk, Billionaire la kirussi lenye roho mbayaa sana lakini pia anatambulika Kama Personal banker wa Rais Mteule Putin wa Russia, lenye mafunzo kutoka KGB sasa inaitwa FSB. Piga maanalysis kama yote huku nikisubiri percent yangu ndogo itakayonifanya nipenetrate tanzania niwe kama Rostam au niende Kenya kuwa Economic assassin ! ama kupoachikwa jina la Yellsin-era Oligachs jijini moscow palepale.
Anyways , naona natoka nje ya mada.
Mkuu natumaini umenielewa, Mambo ya kirusi niweke pembeni kwa maana naandika nkiwa vitani Ukraine
Tumefanikiwa safirisha Tani nyingi sana kuingia Urusi! Hatupigani vuta za kawaida muda wote ni vita za kiuchumi
VITA ni uchumi: Story za Eacop na Bunge la Ulaya!
OLIGARCHY, CFA
FORMER KGB TRAINEE,
Mkuu Kingoligarchy, kuna uwezekano ukauza T-Bond uliyonunua kupitia pesa ulizokopa saccos/uliyokopea bank kabla ya kumaliza marejesho huko saccos/ huko bank? Kama inawezekana ni kivip?Mkuu we ni PM haina tatizo, Lakini ukianza kuongelea kuhusu mikopo ya Multi currency , hapo ni kuna changamoto na kunarisk mbalimbali za kuhedge mfano tu exchange rate rISK maana yake lazima uicover na forward contract. close look to impact ya kenya airways due to hedging failure A close look at the role of fuel hedging in Kenya Airways’ Sh26bn loss.
So nisiweke mambo mengi, what i wanted to say is "in a nut shell" wewe ni muajiriwa? upo kwenye vicoba? saccos? if theres a way u can get a loan/mkopo wa single digit interest mfano wafanyakazi wa mabenki wanakopeshwa hadi 5%, Saccos nyingine zinatoa 4 times amount uliyoweka plus 7% interest. unachofanya unaangalia tofauti kati ya TBond ya 25 years na Mkopo rate unayopewa , for example TBond 12.56 vs Saccos 7% difference 5,56% , so take the biggest amount utakayoweza kupata hata 1 Billion baba then nunua bond the interest + principal bond itajilipa bila wewe kufanya kitu baada ya miaka michache we ni mbuzi choma kwenye viti virefu.
Bond za kununua ni 20 na 25 Years tu ! PERIOD
So hakuna kununua bond zaidi ya hizo kama wewe ni retail, kumbuka LIQUIDITY ndo mpango mzima
Rejea: Buying 25 years Bond haimaaniishi ukae nayo miaka 25 unaweza nunua leo ukauza kesho... sasa kama ndo hyo why are u buying 10Y Tbond? Seriously.....