SoC03 Kupitia wasanii wa sasa, je tunaenda kutengeneza kizazi cha aina gani hapo baadae na nani awajibike?

Stories of Change - 2023 Competition

Ali Nassor Px

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2022
Posts
2,384
Reaction score
3,926
UTANGULIZI

Msanii ni mtu anayetumia lugha kufikisha ujumbe( kazi zake za sanaa) kwa jamii. kwa lengo la kuburudisha na elimisha.

Katika kutoa maana halisi ya fasihi simulizi kwenye kipengele cha msanii (mwanafasihi) kuna mtazamo unasema 'Msanii ni kioo cha jamii'. Kioo kazi yake kubwa ni kutuonesha kasoro zilizopo mwili huenda tunaziona tukapuuzia au hatukuziona kabisa hivyo kupitia kioo tutaziona hizo kasoro.

Msanii ni kioo cha jamii kupitia maudhui (contents )ya kazi zake kama nyimbo, maigizo, uchoraji, uchongaji nk.

Tunaweza kujiangalia kupitia hizo kazi na kujirekebisha ili kuendana na utaratibu rasmi wa jamii yetu.

Lakini pia kioo kinaweza kuvunjika hivyo kushindwa kutoa taarifa kamili au kwa usahihi kwa mtazamaji husika hivyohivyo msanii anaweza kuwa na tabia mbovu ambazo zinaweza kutoa taarifa chafu na zisizofaa kabisa kwa jamii yake.

Ni vema wasanii wakatambua kuwa wana jukumu kubwa katika jamii kuelimisha na si kupotosha.

Sanaa katika jamii zetu imeendelea kutumika kama dhana ya kusaidia jamii kujikosoa na kupata burudani.

Ajabu siku hizi wasanii badala ya kuwa kioo cha jamii wamegeuka kuwa giza, ambalo halionyeshi na hugubikwa na mambo ya ajabu.

CHANGAMOTO
Sanaa katika Jamii au taifa lolote lile ni sawa na kiumbe hai, ambacho kinaendelea kukua na kujifunza kulingana na wakati na kufanyia mabadiliko sanaa yake ambayo ni kielelezo cha utamaduni wa taifa hilo. Sanaa pamoja na wasanii ni nguzo muhimu katika kuelimisha jamii hasa pale jamii inapojitahidi kunakiri mambo bila kujua uzuri au ubaya wa jambo husika, hivyo sanaa ikitumika vizuri inaweza kusaidia kuondoa tatizo hili kwa jamii ambayo pengine imekosa elimu, au teknolojia mpya, na hata kushindwa kujifunza kwa sababu ya utofauti mkubwa wa mazingira na maendeleo.

Mmoja; Katika kufaninikisha malengo ya kuelimisha jamii, serikali huunda chombo cha kusimamia, kukuza na kuongeza maendeleo ya utengenezaji wa kazi za sanaa kulingana na maadili ya taifa.

Ndani ya Tanzania tunachombo ambacho kinaitwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).

Chombo hiki kinatakiwa kiwe ndio kiranja mkuu kwa kusimamia kazi za wasanii ili ziweze kuchezwa au kuonyeshwa kulingana na maadili ya taifa letu.

ukweli ni kuwa chombo hiki kinayumba na katika kujiendesha chenyewe na pia kwenye kusimamia maadili ya kazi za wasanii kwani wasanii sasa wamekuwa na nguvu ya kuleta mmomonyoko wa maadili katika ndani ya taifa letu.

Siku hizi kuna kazi za sanaa zenye maudhui machafu zinapigwa redioni na katika runinga. na mamlaka inashindwa kuzizuia mapema, huku BASATA inaonesha wameshindwa kuwawajibisha wale wasanii wachache wanaoharibu sifa nzuri ya kazi ya sanaa.

Taifa letu lina wananchi wa rika mbali mbali lazima kuwe na utaratibu kama ilivyo katika nchi za wenzetu onesho lolote lilizozalishwa ndani au nje ya nchi linaonyeshwa katika vyombo vyetu vya habari linatakiwa lioneshe ni rika gani wanatakiwa kulitazama.

Kwa mfano; ikionyesha kuwa Onesho hili ni “ Parental Guidance (PG) 13” hii inamaanisha kuwa wenye ruksa ya kutazama onesho hilo ni wale wote wenye rika ya miaka 13 na kwenda kuendelea ,wale ambao hawajafika umri huu sio busara kuona onesho hilo.

hivyo sheria au utaratibu ukieleweka, jamii nayo sasa inaanza kuwajibika kwa kuwaelimisha na kuwakemea kwamba hawastahili kuangalia onesho hilo.

Pili; kuwa tatizo la mmomonyoko wa maadili ni la muda mrefu. Mmomonyoko huu umekuwa ukiendelea na kukua labda kutokana na ukimya wa mamlaka husika (BASATA), kwa kuwa upande wa msanii au kumuonea muhali msanii fulani.

imefikia hatua hivi karibuni baadhi ya kazi za sanaa zisizo na maadili zinaifikia jamii. na jamii hususani watoto wanaipokea hiyo kazi na kuiona kama kazi ya kawaida tu kumbe ndo maadili yanamong'onyoka.

Kazi inaingia kwa jamii (wasikilizaji/ watazamaji) na haina maadili. inaenda kuathiri jamii. baada ya athari BASATA ndo inatoa tamko la kukemea. mda wote huu BASATA ilikuwa wapi mpaka kazi inawafikia jamii kazi ya kuratibu kazi za sanaa inafanywa na nani sasa.

20230603_194249.jpg

aiishi hapo BASATA wanakemea kuwa kazi ya sanaa hiyo haina maadili lakini kwenye tuzo kazi hiyo hiyo wanaiteua tena ishindanie na inashinda na kupewa tuzo juu.

BASATA linakemea jamii lakini inatakiwa kujua makosa ni yule aliye upitisha huo wimbo ufike Kwa walaji wa mwisho (jamii).

SULUHISHO

Baraza letu la sanaa (BASATA) linatakiwa kuanza kuchukua hatua kwa ajili ya kudhibiti mmomonyoko wa maadili kupitia sanaa.

i. Baraza linatakiwa kuendelea kuwaelimisha wasanii; kufanya kazi za sanaa na kuishi ndani ya maadili wakiwa nje na ndani ya kazi zao na sio kusingizia Pombe kuwa ndio iliyofanya mambo haya yote. kumekuwa na video nyingi chafu za wasanii zikisambaa mitandao kila siku.

ii. Udhibiti wa mamlaka na usimamizi wa wazazi ; Uwepo utaratibu wa kudhibiti kazi za sanaa ambazo husababisha mmommonyoko wa maadili kwa kwa vijana wetu. kazi za wasanii wetu kwa ujumla hazioneshi umri wa kuzitazama Parental Guidance (PG) na baadhi ya nyimbo zinatumia maneno mazito ambayo yamekuwa yakiimbwa na watoto.

mamlaka ipambanie kutimiza jukumu lake lakini pia jamii itimize jukumu lake la kusimamia maadili yake.

iii. Utekelezaji wa sheria bila kuoneana muhari;

sheria zitekelezwe pale msanii anapovunja sheria za baraza bila kutazama ukubwa wake.

Utekelezaji wa sheria utapendeza kama pia kutakuwa na ushirikishwaji wa wasanii kabla ya kutunga sheria na kanuni zitakazotoa muongozo wa maadili wa kazi zao za sanaa kiujumla.

Hii itasaidia kupunguza lawama na uvunjwaji wa sheria na kanuni baina ya wasanii na baraza lakini pia kwa jamii kiujumla.

iv. Elimu kwa wasanii; wasanii wetu wanahitaji elimu ya kuijua sanaa kuundani na busara ya kumchanganua nini waonyeshe, nini wavae, nini waimbena namna gani wacheze na pombe kama ni lazima itumike, itumike wapi na kwa kiasi gani.

kwani jukumu la wasanii ni kuelimisha na kuburudisha na sio kuburudisha tu. burudani bila mipaka inapeleka kupotosha jamii.

Itabidi BASATA wakae pamoja na wasanii kuwapa elimu kuhusu swala la maadili kiundani zaidi.

USHAURI KWA BASATA

Iwapo BASATA wameshindwa Kuwajibika ipasavyo kwa kusimamia na kutekeleza majukumu yao. kazi zisizo na maadili zitaendelea kuzalishwa kila siku.

Tunahitaji sanaa ambazo zitatuburudisha na kutuelimisha pia.

kinyume na hapo dhana ya sanaa na msanii ni kioo cha jamii itakuwa haina maana ya kuendelea kutumika tena.

Ukienda kuoga, kisha ukamaliza kuoga na ukatoka bafuni, ghafla ukagundua kuna povu halijatoka unaweza akaamua mmoja katika mawili.

ama UKAJISUUZE au UJIFUTE na taulo. Ingawa maamuzi yote yanaweza kuwa sawa lakini moja litakugharimu bila wewe kujua.

Nawasilisha.
 
Upvote 11
karibuni wanajamiiforums wote kusoma andiko langu, kujadiliana kwa pamoja juu la andiko langu.

Kunipigia kura.
 
UTANGULIZI

Msanii ni mtu anayetumia lugha kufikisha ujumbe( kazi zake za sanaa) kwa jamii. kwa lengo la kuburudisha na elimisha.

Katika kutoa maana halisi ya fasihi simulizi kwenye kipengele cha msanii (mwanafasihi) kuna mtazamo unasema 'Msanii ni kioo cha jamii'. Kioo kazi yake kubwa ni kutuonesha kasoro zilizopo mwili huenda tunaziona tukapuuzia au hatukuziona kabisa hivyo kupitia kioo tutaziona hizo kasoro.

Msanii ni kioo cha jamii kupitia maudhui (contents )ya kazi zake kama nyimbo, maigizo, uchoraji, uchongaji nk.

Tunaweza kujiangalia kupitia hizo kazi na kujirekebisha ili kuendana na utaratibu rasmi wa jamii yetu.

Lakini pia kioo kinaweza kuvunjika hivyo kushindwa kutoa taarifa kamili au kwa usahihi kwa mtazamaji husika hivyohivyo msanii anaweza kuwa na tabia mbovu ambazo zinaweza kutoa taarifa chafu na zisizofaa kabisa kwa jamii yake.

Ni vema wasanii wakatambua kuwa wana jukumu kubwa katika jamii kuelimisha na si kupotosha.

Sanaa katika jamii zetu imeendelea kutumika kama dhana ya kusaidia jamii kujikosoa na kupata burudani.

Ajabu siku hizi wasanii badala ya kuwa kioo cha jamii wamegeuka kuwa giza, ambalo halionyeshi na hugubikwa na mambo ya ajabu.

CHANGAMOTO

Sanaa katika Jamii au taifa lolote lile ni sawa na kiumbe hai, ambacho kinaendelea kukua na kujifunza kulingana na wakati na kufanyia mabadiliko sanaa yake ambayo ni kielelezo cha utamaduni wa taifa hilo. Sanaa pamoja na wasanii ni nguzo muhimu katika kuelimisha jamii hasa pale jamii inapojitahidi kunakiri mambo bila kujua uzuri au ubaya wa jambo husika, hivyo sanaa ikitumika vizuri inaweza kusaidia kuondoa tatizo hili kwa jamii ambayo pengine imekosa elimu, au teknolojia mpya, na hata kushindwa kujifunza kwa sababu ya utofauti mkubwa wa mazingira na maendeleo.

Mmoja; Katika kufaninikisha malengo ya kuelimisha jamii, serikali huunda chombo cha kusimamia, kukuza na kuongeza maendeleo ya utengenezaji wa kazi za sanaa kulingana na maadili ya taifa.

Ndani ya Tanzania tunachombo ambacho kinaitwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).

Chombo hiki kinatakiwa kiwe ndio kiranja mkuu kwa kusimamia kazi za wasanii ili ziweze kuchezwa au kuonyeshwa kulingana na maadili ya taifa letu.

ukweli ni kuwa chombo hiki kinayumba na katika kujiendesha chenyewe na pia kwenye kusimamia maadili ya kazi za wasanii kwani wasanii sasa wamekuwa na nguvu ya kuleta mmomonyoko wa maadili katika ndani ya taifa letu.

Siku hizi kuna kazi za sanaa zenye maudhui machafu zinapigwa redioni na katika runinga. na mamlaka inashindwa kuzizuia mapema ,huku BASATA inaonesha wameshindwa kuwawajibisha wale wasanii wachache wanaoharibu sifa nzuri ya kazi ya sanaa.

Taifa letu lina wananchi wa rika mbali mbali lazima kuwe na utaratibu kama ilivyo katika nchi za wenzetu onesho lolote lilizozalishwa ndani au nje ya nchi linaonyeshwa katika vyombo vyetu vya habari linatakiwa lioneshe ni rika gani wanatakiwa kulitazama.

Kwa mfano; ikionyesha kuwa Onesho hili ni “ Parental Guidance (PG) 13” hii inamaanisha kuwa wenye ruksa ya kutazama onesho hilo ni wale wote wenye rika ya miaka 13 na kwenda kuendelea ,wale ambao hawajafika umri huu sio busara kuona onesho hilo.

hivyo sheria au utaratibu ukieleweka, jamii nayo sasa inaanza kuwajibika kwa kuwaelimisha na kuwakemea kwamba hawastahili kuangalia onesho hilo.

Pili; kuwa tatizo la mmomonyoko wa maadili ni la muda mrefu. Mmomonyoko huu umekuwa ukiendelea na kukua labda kutokana na ukimya wa mamlaka husika (BASATA), kwa kuwa upande wa msanii au kumuonea muhali msanii fulani.

imefikia hatua hivi karibuni baadhi ya kazi za sanaa zisizo na maadili zinaifikia jamii. na jamii hususani watoto wanaipokea hiyo kazi na kuiona kama kazi ya kawaida tu kumbe ndo maadili yanamong'onyoka.

Kazi inaingia kwa jamii (wasikilizaji/ watazamaji) na haina maadili. inaenda kuathiri jamii. baada ya athari BASATA ndo inatoa tamko la kukemea. mda wote huu BASATA ilikuwa wapi mpaka kazi inawafikia jamii kazi ya kuratibu kazi za sanaa inafanywa na nani sasa.

View attachment 2650829

Kwa mashoga kama akina Diamond Harmfulnize na wenzake, ni balaa. Magufuli aliwabana baada ya habithi Kikwete kuwapa mwanya. Sasa huyu mtu wa Kikwekwe naye hao hao cha wote. Tunatengeneza kizazi cha mazezeta. Hebu fikria, mwandishi wa vitabu vya kufundishia vyenye wingi wa maarifa anakufa maskini wakati mashoga kama hao wanakufa mamilionea. Tatizo? Jamii yetu ni ya kipumbavu inayoogopa kuumiza bongo kufikiri na kupenda ubwete. Anaona fahari kukaribisha wakimbiza boli lakini siyo thinkers kwa sababu watamkosoa.
 
Singeli na Taarabu ni mwendo wa matusi tupu, hivi hao BASATA hutumia vigezo gani kufungia miziki mbali mbali TZ, mbona wanakwama sana?

Pia Bongo Fleva kuanzia 2010 - 2020 ni upuuzi mtupu si matusi bali hata videos hazijakaa kimaadili kabisa, unaweza kubadilisha chaneli ukiwa pamoja na Mzazi wako eg. African Beauty - Diamond.

Kizuri zaidi;

Reggae.

Reggae Dance.

Country musics.

Zuku.

Hip-hop (USA).

R & B.

Latin America musics

Western Africa musics.

Rumba.

DRC musics.

Madiba musics.

Ni nyimbo za kidunia mbali na nyimbo za Bongo pekee za kusikiliza na kucheza maana mziki ni elimu na burudani.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Facts 🤝🤝🤝🤝
 
Kwa mashoga kama akina Diamond Harmfulnize na wenzake, ni balaa. Magufuli aliwabana baada ya habithi Kikwete kuwapa mwanya. Sasa huyu mtu wa Kikwekwe naye hao hao cha wote. Tunatengeneza kizazi cha mazezeta. Hebu fikria, mwandishi wa vitabu vya kufundishia vyenye wingi wa maarifa anakufa maskini wakati mashoga kama hao wanakufa mamilionea. Tatizo? Jamii yetu ni ya kipumbavu inayoogopa kuumiza bongo kufikiri na kupenda ubwete. Anaona fahari kukaribisha wakimbiza boli lakini siyo thinkers kwa sababu watamkosoa.
Nadhani itafikia mda watajirekebisha na watakumbuka wajibu wao inshallah
 
UTANGULIZI

Msanii ni mtu anayetumia lugha kufikisha ujumbe( kazi zake za sanaa) kwa jamii. kwa lengo la kuburudisha na elimisha.

Katika kutoa maana halisi ya fasihi simulizi kwenye kipengele cha msanii (mwanafasihi) kuna mtazamo unasema 'Msanii ni kioo cha jamii'. Kioo kazi yake kubwa ni kutuonesha kasoro zilizopo mwili huenda tunaziona tukapuuzia au hatukuziona kabisa hivyo kupitia kioo tutaziona hizo kasoro.

Msanii ni kioo cha jamii kupitia maudhui (contents )ya kazi zake kama nyimbo, maigizo, uchoraji, uchongaji nk.

Tunaweza kujiangalia kupitia hizo kazi na kujirekebisha ili kuendana na utaratibu rasmi wa jamii yetu.

Lakini pia kioo kinaweza kuvunjika hivyo kushindwa kutoa taarifa kamili au kwa usahihi kwa mtazamaji husika hivyohivyo msanii anaweza kuwa na tabia mbovu ambazo zinaweza kutoa taarifa chafu na zisizofaa kabisa kwa jamii yake.

Ni vema wasanii wakatambua kuwa wana jukumu kubwa katika jamii kuelimisha na si kupotosha.

Sanaa katika jamii zetu imeendelea kutumika kama dhana ya kusaidia jamii kujikosoa na kupata burudani.

Ajabu siku hizi wasanii badala ya kuwa kioo cha jamii wamegeuka kuwa giza, ambalo halionyeshi na hugubikwa na mambo ya ajabu.

CHANGAMOTO

Sanaa katika Jamii au taifa lolote lile ni sawa na kiumbe hai, ambacho kinaendelea kukua na kujifunza kulingana na wakati na kufanyia mabadiliko sanaa yake ambayo ni kielelezo cha utamaduni wa taifa hilo. Sanaa pamoja na wasanii ni nguzo muhimu katika kuelimisha jamii hasa pale jamii inapojitahidi kunakiri mambo bila kujua uzuri au ubaya wa jambo husika, hivyo sanaa ikitumika vizuri inaweza kusaidia kuondoa tatizo hili kwa jamii ambayo pengine imekosa elimu, au teknolojia mpya, na hata kushindwa kujifunza kwa sababu ya utofauti mkubwa wa mazingira na maendeleo.

Mmoja; Katika kufaninikisha malengo ya kuelimisha jamii, serikali huunda chombo cha kusimamia, kukuza na kuongeza maendeleo ya utengenezaji wa kazi za sanaa kulingana na maadili ya taifa.

Ndani ya Tanzania tunachombo ambacho kinaitwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).

Chombo hiki kinatakiwa kiwe ndio kiranja mkuu kwa kusimamia kazi za wasanii ili ziweze kuchezwa au kuonyeshwa kulingana na maadili ya taifa letu.

ukweli ni kuwa chombo hiki kinayumba na katika kujiendesha chenyewe na pia kwenye kusimamia maadili ya kazi za wasanii kwani wasanii sasa wamekuwa na nguvu ya kuleta mmomonyoko wa maadili katika ndani ya taifa letu.

Siku hizi kuna kazi za sanaa zenye maudhui machafu zinapigwa redioni na katika runinga. na mamlaka inashindwa kuzizuia mapema ,huku BASATA inaonesha wameshindwa kuwawajibisha wale wasanii wachache wanaoharibu sifa nzuri ya kazi ya sanaa.

Taifa letu lina wananchi wa rika mbali mbali lazima kuwe na utaratibu kama ilivyo katika nchi za wenzetu onesho lolote lilizozalishwa ndani au nje ya nchi linaonyeshwa katika vyombo vyetu vya habari linatakiwa lioneshe ni rika gani wanatakiwa kulitazama.

Kwa mfano; ikionyesha kuwa Onesho hili ni “ Parental Guidance (PG) 13” hii inamaanisha kuwa wenye ruksa ya kutazama onesho hilo ni wale wote wenye rika ya miaka 13 na kwenda kuendelea ,wale ambao hawajafika umri huu sio busara kuona onesho hilo.

hivyo sheria au utaratibu ukieleweka, jamii nayo sasa inaanza kuwajibika kwa kuwaelimisha na kuwakemea kwamba hawastahili kuangalia onesho hilo.

Pili; kuwa tatizo la mmomonyoko wa maadili ni la muda mrefu. Mmomonyoko huu umekuwa ukiendelea na kukua labda kutokana na ukimya wa mamlaka husika (BASATA), kwa kuwa upande wa msanii au kumuonea muhali msanii fulani.

imefikia hatua hivi karibuni baadhi ya kazi za sanaa zisizo na maadili zinaifikia jamii. na jamii hususani watoto wanaipokea hiyo kazi na kuiona kama kazi ya kawaida tu kumbe ndo maadili yanamong'onyoka.

Kazi inaingia kwa jamii (wasikilizaji/ watazamaji) na haina maadili. inaenda kuathiri jamii. baada ya athari BASATA ndo inatoa tamko la kukemea. mda wote huu BASATA ilikuwa wapi mpaka kazi inawafikia jamii kazi ya kuratibu kazi za sanaa inafanywa na nani sasa.

View attachment 2650829
aiishi hapo BASATA wanakemea kuwa kazi ya sanaa hiyo haina maadili lakini kwenye tuzo kazi hiyo hiyo wanaiteua tena ishindanie na inashinda na kupewa tuzo juu.

BASATA linakemea jamii lakini inatakiwa kujua makosa ni yule aliye upitisha huo wimbo ufike Kwa walaji wa mwisho (jamii).

SULUHISHO

Baraza letu la sanaa (BASATA) linatakiwa kuanza kuchukua hatua kwa ajili ya kudhibiti mmomonyoko wa maadili kupitia sanaa.

i. Baraza linatakiwa kuendelea kuwaelimisha wasanii; kufanya kazi za sanaa na kuishi ndani ya maadili wakiwa nje na ndani ya kazi zao na sio kusingizia Pombe kuwa ndio iliyofanya mambo haya yote. kumekuwa na video nyingi chafu za wasanii zikisambaa mitandao kila siku.

ii. Udhibiti wa mamlaka na usimamizi wa wazazi ; Uwepo utaratibu wa kudhibiti kazi za sanaa ambazo husababisha mmommonyoko wa maadili kwa kwa vijana wetu. kazi za wasanii wetu kwa ujumla hazioneshi umri wa kuzitazama Parental Guidance (PG) na baadhi ya nyimbo zinatumia maneno mazito ambayo yamekuwa yakiimbwa na watoto.

mamlaka ipambanie kutimiza jukumu lake lakini pia jamii itimize jukumu lake la kusimamia maadili yake.

iii. Utekelezaji wa sheria bila kuoneana muhari;

sheria zitekelezwe pale msanii anapovunja sheria za baraza bila kutazama ukubwa wake.

Utekelezaji wa sheria utapendeza kama pia kutakuwa na ushirikishwaji wa wasanii kabla ya kutunga sheria na kanuni zitakazotoa muongozo wa maadili wa kazi zao za sanaa kiujumla.

Hii itasaidia kupunguza lawama na uvunjwaji wa sheria na kanuni baina ya wasanii na baraza lakini pia kwa jamii kiujumla.

iv. Elimu kwa wasanii; wasanii wetu wanahitaji elimu ya kuijua sanaa kuundani na busara ya kumchanganua nini waonyeshe, nini wavae, nini waimbena namna gani wacheze na pombe kama ni lazima itumike, itumike wapi na kwa kiasi gani.

kwani jukumu la wasanii ni kuelimisha na kuburudisha na sio kuburudisha tu. burudani bila mipaka inapeleka kupotosha jamii.

Itabidi BASATA wakae pamoja na wasanii kuwapa elimu kuhusu swala la maadili kiundani zaidi.

USHAURI KWA BASATA

Iwapo BASATA wameshindwa Kuwajibika ipasavyo kwa kusimamia na kutekeleza majukumu yao. kazi zisizo na maadili zitaendelea kuzalishwa kila siku.

Tunahitaji sanaa ambazo zitatuburudisha na kutuelimisha pia.

kinyume na hapo dhana ya sanaa na msanii ni kioo cha jamii itakuwa haina maana ya kuendelea kutumika tena.

Ukienda kuoga, kisha ukamaliza kuoga na ukatoka bafuni, ghafla ukagundua kuna povu halijatoka unaweza akaamua mmoja katika mawili.

ama UKAJISUUZE au UJIFUTE na taulo. Ingawa maamuzi yote yanaweza kuwa sawa lakini moja litakugharimu bila wewe kujua.

Nawasilisha.
Mkuu umeweka hoja
Nimeheshimu muda na juhudi za tafakuri uliyoiweka.

Nashawishika kukushauri upate elimu kuhusu uhuru wa sanaa pia soma sheria ya National Arts Act no 23 ya 1984 kabla haijanasijiwa 2019 na sheria na. 5 ya marekebisho ya Sheria Mbalimbali.

Neno maudhui siyo job description ya BASATA, bali hapo unaishawishi Basata kuingilia kimajukumu kazi ya Mamlaka ya Mawasiliano TCRA. Namaanisha maudhui ya broadcasting.

Unapaswa kuelewa kuwa sanaa ni sayansi, biashara, elimu, utalii, ubunifu na kdhalika.
 
Nimeheshimu mawazo yako ndugu.

Rejea; kwa mujibu wa Sheria Na. 23 ya mwaka 1984 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 5 ya Mwaka 2019 mmoja ya kazi ya BASATA ni

1.Kuratibu shughuli za sanaa zinazofanywa na watu au Taasisi mbalimbali

Kwa maana hiyo basi kazi yoyote ya sanaa inatakiwa kupita mikononi mwa basata kabla ya kwenda kwa wananchi.

Basata inatakiwa kuhakiki kazi hiyo ya sanaa. Kama haivunji mipaka ya sheria. ndio maana juzi kati ukaona MAARIFA aliitwa BASATA akapongezwa kwa kitendo cha kupeleka mashairi yake kukaguliwa before ajatoa kazi yake kuwafikia wananchi.

Sina maana wasanii wanyimwe uhuru wa kufanya kazi zao hapana au wasanii waimbe kuhusu kitu kimoja tu labda kusifia watu wafanye kazi za aina yoyote ile cha muhimu kazi ya sanaa isivuke mipaka ya maadili na kuzalisha taharuki kwa jamii.

Nadhani umeshindwa kunielewa kidogo na acha nikuweke sawa. Sikumaanisha kuwa basata iende mtandaoni kuzuia kazi ya haina fulani ya sanaa ila BASATA izuie kazi isiyo na mabadili mapema maana hilo ni jukumu lao.

BASATA NI KAMA TMDA TANZANIA NA MSANII NI KAMA KIWANDA NA MWANAJAMII NI KAMA MTUMIAJI WA MWISHO.

So msanii akitoa nyimbo lazima basata aihakiki kisha ndo atoe ruksa ya kumfikia mwanajamii...

Kitendo cha basata kutoa ruksa nyimbo iende kwa mwanajamii maana yake karuhusu sumu ije kwa wananchi.

ukisoma hiyo "BARUA INAYOHUSU KARIPIO YA VIDEO YA WATOTO ..." kwenye andiko langu utagundua kuwa basata ndio mwenye jukumu na ndo maana wao katoa onyo.

Kama jukumu hilo lingekuwa la TCRA basi onyo angetoa TCRA nadhani tumeelewana mkuu.
 
Mkuu ingawa nitakuja kuandika tena maana hapa nipo bize kufanya jambo fulani la sanaa. Napenda kukufafanulia kuwa, majukumu waliyopewa BASATA kupitia marekebisho ya sheria na 5 yaliyorekebisha vipengele vya sheria ya National Arts Act no 23 of 1984. Yameipa mamlaka BASATA kukamata, kuzuia, kuharibu kazi za sanaa. Sanaa siyo jinai, hivyo marekebisho hayo Yanapingana na mkataba wa Kimataifa wa International Convenant of Economics, Social and Cultural Rights (ICESCR) ambayo

My word to you ni kwamba, BASATA kuhusika na maudhui ya sanaa ili kuyadhibiti ni ukiukwaji mkubwa wa Uhuru wa Sanaa ambao ni msingi muhimu wa Haki za Binadamu.

Nitarejea lakini unaweza kunikosoa kwa nilichoandika
 
Tatizo sio wasanii ,tatizo lipo kwa jamii nzima kupenda mambo ya kiwaki kuliko
mambo ya maana na kwa sababu wasanii ni kioo cha jamii wanarefrect vile
jamii ilivyo pia mabadiliko ya sayansi na teknologia yanachangia kufanya hili suala kua
pana kimataifa ,utawabana kina Harmonize na Zuchu wakati kuna Naira Marley wa Nigeria na
Pabi Cooper wa South Afrika tunaona kazi zao?

teknolojia haipigwi ngumi na culture inachange now we are the World tusiwaangushie
Wasanii jumba bovu
utake usitake kula chuma hichoooooooo-!
 
Back
Top Bottom