Kupitisha siku nne bila kukutana kimwili na mke wako ni makosa

hakuna kanuni...raha ya papuchi ui-miss kidogo bana.halafuuu kuna game za kawaida tu,zile friendly fire..mara nyingine just cuddling hapo kwa kiti na kahawa pembeni tukiwatch black panther,sio lazima nipenye.
Ila kuna siku ambazo unakua na 'mood ya kikatili'...siku hiyo unakua mr.nice guy kweli kweli...kila zuri ataambiwa,atafanyiwa...kama amekuzoea atajua tu leo moto unawaka. au unamwambia kabisa bana game ya leo yangu so just play along.
hakuna kanuni ya siku ngapi kwa wiki mfanye matusi ,ni sawa tu na kujadili 'bao' ngapi ndio standard.naamini it's the quality that matters.idai ya bao au mara ngapi kwa wiki waachie teenagers.
 
Akikaa siku 2 hajanigusa namgusa mimi. Sijaja kula pilau hapo kazi kazi
A massive turn on!kwakweli hapa unaweza pigwa dudu mpaka upoteze fahamu.
shida tu ni kama na yeye ana drive kama yako..au ana react vipi kwenye stressfull situations za maisha.
mfano,mimi nikiwa sina mkwanja walau kidogo kwakweli genye hua haziji kabisa
 
mi nilipo ooa mke alinifanya nikawa mvivu kabisa wa mapenzi,akijisikia anakupa asipojisikia akupi na visingizio kibao,ukitekenya tu utasikia hivi hauna hata huruma?huoni leo nimeshinda kama naumwa vile?kua na roho ya kibinadam basi jamani,dahh nikisikia hivyo nageukia kushoto kabisa,mpaka leo naweza kukaa hata mwezi mzima bila kufanya na nimezoea kabisa.sina mchepuko wala
 
kwakwel na mm nipo hvyo!kinachokera huwa hamjiulizi KUNANI!possibilities za kumboa ni kubwa sana sana hakuambii tu
 
mi nilipo ooa mke alinifanya nikawa mvivu kabisa wa mapenzi,akijisikia anakupa asipojisikia akupi na visingizio kibao,ukitekenya tu utasikia hivi hauna hata huruma?huoni leo nimeshinda kama naumwa vile?kua na roho ya kibinadam basi jamani,dahh nikisikia hivyo nageukia kushoto kabisa,mpaka leo naweza kukaa hata mwezi mzima bila kufanya na nimezoea kabisa.sina mchepuko wala
Wakishaolewa ndo walivo mkuu, hata hivyo hongera kwa moyo wa uvumilivu, angekuwa mwingine hapo tayari ana michepuko yake kadhaa, waifu akizingua tu anaenda kujilia zake mchepuko
 
Back
Top Bottom