Kupitisha siku nne bila kukutana kimwili na mke wako ni makosa

Ila shekhe mbona hajatoa aya ip isemayo hivyo, au ni hadithi ipi ya mtume?
 
Sasa umeoa afu unakaa mwezi mzima bila Ku doo si bora usioe tu
 
Kwa jinsi nlivyo na nyota ya michepuko mke anakaa hata mwezi na hana shida. Uzuri wanawake ni wavumilivu sana hawapendi Ng.no kama sisi. Hivo anapata nafasi ya kupumzika. Japo michepuko ina maudhi yake ila inasaidia
Teh teh...nimecheka sana, duuh!!
 
Huna mke wewe ndo maana unaongea pumba zako wanawake siku izi ni maganzi sjui ni mavidonge na masindano wanayochoma inapita hata wiki kila siku kachoka mara anajiskia vibaya me uwa siangaiki chap naenda kwa mchepuko
Hahaaa!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah hio hali inakera sijui kwanini wanawake wavivu sana mkishakaa nyumba moja. Huwa namsemaga bibie ni mvivu sana mpaka anajistukia mwenyewe maana ana vikwazo vya kijinga kjinga sana wakati kidume nataka niweke.

Saingine namkurupua tu kitemi anabakia kucheka cheka tu maana demokrasia ukiendekeza inafelisha mambo, wakati bwana othman kichwa wazi akitaka kuingia ikulu ndogo.
 
Ndo maana naogopa kuolewa kutokana na hiyo michezo mhh ko kila siku jamani si mnachokana duuh!!
Hakunaga kitu kama hicho unachokaje chakula ukipendacho utamchoka kama humpendi kama unampenda kila cku ni mpya hakuna kuchokana hata kdg.
 
Aisee hio hali ndo inaenda kuwa kawaida na kwangu, zamani nilikuwa sipitishi siku mbili sijagonya nikiwa na ex wangu ila niliye naye sasa amenilemaza kinoma sina vibe kama zamani af naona kawaida tu.

Naweza kaa week tatu flat sijachezea utomvu wa bamia. Life linasonga no mchepuko
 
Katika hili akina mama wanaleta urasimu sana ndo maana kina baba tunatafuta njia mbadala kwa haraka
 
Hahaaaa mi leo kucheka tu hapa, hizi ndoa zina mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…