vijana wasiojituma katika ubora
mkuu kama hujaoa hautakiwi kutoa mahari utakua unanunua binadam mwenzako
NI MILA NA DESTURI ZA WATU
=> MWANAMKE utakae mchukua BURE BURE huwezi kuwa na thamani nae, MAANA UTAMWACHA KESHO NA UMCHUKUE MWINGNE WA BURE BURE mfano maisha ya baadhi ya watu DAR ES SALAAM, unaoa mchana usiku unafukuza ili aingie mwingne "KAMA UNABADILI NGUO VILE"
hamna kitu kibaya kama mwanaume kukosa chochote, anyway jitumeni muwe hata na laki mbili ukifika unawapa unaahidi utaleta unapewa mke maisha yanaendelea hawawezi kukunyang'anya
kwa hiyo unatanguliza advance kwanza
Mbona wanatolewa mahari.kibao na wanaachwa vilevile KAMA nguo
Mahali ni value ya mke inabidi utoe jasho kumpata mke nje ya hapo mke wa bure nikama umeokota kona baa!
Hiyo ni akili ya mhusika haiusiani na kutoa mahali!maana hata ukumfunga jembe la kukokota na ng'ombe huwezi singizia ni mahali!!kwanza ngoja nimpigie mpenzi wangu kwanza!sawa ni value lakini kwa upande wa pili tunawageuza bidhaa
Mahali ni value ya mke inabidi utoe jasho kumpata mke nje ya hapo mke wa bure nikama umeokota kona baa!
Safi sana mkuu tusijifanye sisi tuna akili kuliko mitume na manabii mahali ipo hata ktk maandiko
Hiyo ni akili ya mhusika haiusiani na kutoa mahali!maana hata ukumfunga jembe la kukokota na ng'ombe huwezi singizia ni mahali!!kwanza ngoja nimpigie mpenzi wangu kwanza!
Mwanamke kutolewa mahari ni sawa na kumuuza kwa mwanamme tu.kilichobadilika badala ya kuitwa pesa ikaitwa mahari.
Mila ni muhimu kuziheshimu