Kama mtu kauliza kwa njia ya wazi ni vema ajibiwe kwa njia ya wazi kwakua ameuliza kwa manufaa ya wote.Dawa za asili zipo na zinatibu baadhi ya magonjwa ila hakuna uhakika km zinaweza kuutibu UKIMWI,hivyo mwenye kujua angejitokeza hapa na maelezo ya kutosha kabisa,kusema tu kua uliwahi kumtibu mgonjwa mmoja haitoshi.Mkuu wengi wa watu humu ni wajinga hawakuenda shule wamekimbia umande wa asubuhi Kuna Maradhi mengine hayawezi kutibika Ma-Hospitalini lakini kwa dawa za kienyeji yanaweza kutibika. Ukiwaambia ukweli wanakuita eti ni Tapeli waache na ujinga wao wengi humu watu wa Division zero.
Polycap umenena mkuu. Tunataka wengi watiririkeKama mtu kauliza kwa njia ya wazi ni vema ajibiwe kwa njia ya wazi kwakua ameuliza kwa manufaa ya wote.Dawa za asili zipo na zinatibu baadhi ya magonjwa ila hakuna uhakika km zinaweza kuutibu UKIMWI,hivyo mwenye kujua angejitokeza hapa na maelezo ya kutosha kabisa,kusema tu kua uliwahi kumtibu mgonjwa mmoja haitoshi.
Anaweza akawa wa kupandikiza huyo.Hakuna Maradhi yasiyokuwa na Dawa yake Mkuu. Nimeshamtibu mimi mgonjwa wa Ukimwi yupo mjini mbeya mwaka jana na amepona kabisa.Amesha kwenda Hospitali zaidi 4 mjini mbeya na amepim zaidi ya mara 4 amekutwa yupo na HIV Negative.nilisha kuweka namb ayake ya simu humu jamvini akawa watu wanampigia simu kila siku zaidi ya Watu 50 wanamuhoji maswali mpaka akasema basi Dr.Mzizimkavu usiwape watu anamba yangu ya simu inatosha nimesha choka kuhojiwa na watu wengi kwa siku moja. Nakuna wagonjwa wengine ninao watibu mmoja yupo mjini Dar na mwengine yupo mjini Arusha na halizao zinakwenda vizuri hawatumii dawa za kuongeza umri aka ARV wanatumia dawa zangu za asili.
Mgonjwa mmoja tu inatia shakaWakuu tujadili mada kwa wema tusiende huko. Mkuu Mzizi mkavu kama unatibu hakuna atakayekuondolea kipawa hicho hata baadhi wasipokuamini.so usikasirike mkuu pls
Tupe ukweli [emoji4]Uongo
Mbona una guna kaka?Mmmh
Siwezi kusema maneno ya uongo kwani mpaka sas nina wagonjwa 2 ninao watibu na kukutibu haya maradhi unatakiwa uwe na pesa kama huna pesa sitoweza kupoteza muda kukutibia.Mgonjwa mmoja tu inatia shaka
Siwezi kutoa Siri ya dawa na jinsi zinavyotibu ukiwa na mgonjwa au wewe mwenyewe umeathirika nione kwa wakati wako nipate kukutibia nitakutibia kwa muda wa usiozidi mwaka 1 na utakuwa umepona kabisa na kila baada ya miezi 3 utakwenda kupima CD4 na HIV. ukipima mara 3 au zaidi ya hiyo mara 4 ukionekana huna HIV upo HIV Negative na CD4 zipo sawa umepona mkuu. hayo ndio matibabu yangu sibahatishi katika kumtibia mgonjw amimi.Kama mtu kauliza kwa njia ya wazi ni vema ajibiwe kwa njia ya wazi kwakua ameuliza kwa manufaa ya wote.Dawa za asili zipo na zinatibu baadhi ya magonjwa ila hakuna uhakika km zinaweza kuutibu UKIMWI,hivyo mwenye kujua angejitokeza hapa na maelezo ya kutosha kabisa,kusema tu kua uliwahi kumtibu mgonjwa mmoja haitoshi.
Mimi ni mamaMbona una guna kaka?
Kama mimi ni tapeli nilimtapeli nani ?mnajichanganya sana hakuna ugojwa unaoitwa ukimwi huyu mzizi mkavu ni tapeli tuu maana yeye anasema anatibu ukimwi siyo HIV ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini kama atakupa dawa hizi za asili utarudia hali yako ya kula vizuri na kinga zitaimarika na utakua na afya nzuri tuu hapa inawezekana kakupa dawa ya hapetaiti ya kula au kukuongezea dam kwa kua matunda huongeza dam hapa ni usanii tuu anafanya ndiyo maana hasemi natibu hiv anasema natibu ukimwi.. huu ugonjwa unaoitwa HIV wameupa promo watu wa magharibi kwa uelewa wetu waafrica na kutokusoma tukaogopa mtu aambiwapo ameathirika na HIV anapanic na kujipa stress hapa hatakula, atakata tamaa na maisha afya itadhoofika na magonjwa nyemelezi yatampata hatimae kifo kwa iyo tambueni hakuna ugojwa unaoitwa ukimwi hii ipo akilini na siyo mwilini.... kula vizur fanya mazoezi acha ngono ndiyo tiba..
Asante kwanini unaguna?Mimi ni mama
Kwasababu mpaka leo siamini km dawa ipo.. Maana watu wanakufaAsante kwanini unaguna?
Hua naamini dawa ya Ukimwi ipo ila bado watu wa mbali wanaleta uzaifu wa wagonjwa hata kufa kupitia ARVs kwanza then wataleta tena dawa za kutibu kabisa na watu watakimbizana kama walivyokimbizana Loliondo na mchezo utaishia hapo.yote hii ni kuifanya Africa isiwe na watu wengi kama nguvu kaziHabarini wana jamvi. inasadikika kuna watu wanatibu HIV kwa utaratibu wa tiba mbadala lkn zipo pia tetesi kuwa kuna dawa za kifamasia kabisa japo hazikutengenezwa kwankusudi hilo kuna watundu wamejaribu ikaonekana zinasaidia kabisa. Je kuna mtu akiyewahipona ukimwi unamjua?
Wapumbavu hao wanao niita mimi Tapeli wengi wao hawakwenda shule wamekimbia umande wa Asubuhi mimi nina watibu watu na wanapona na siyo tu kutibu ukimwi mimi ninatibu maradhi yaliyoshindikana kutibika Ma-Hospitalini aka (Chronic Disease) kama Maradhi yaHahahaaa BBC umenifurahisha. Ati mzizi mkavu usiochimbwa dawa umesample mtu toka mbeya akaacha wa Dsm. Lkn we si umejionea sample ya watu waliochangia wapo wasioamininkbs kama dawa ipo na wapo wanaomuona mzizi kuwa tapeli so usishangae kupata mteja kwa manati manati.