Kupona Ukimwi

Status
Not open for further replies.
Tiba mbadala ndio solution ya ulimwengu huu,ila tu na nyie punguzeni usanii muimarishe tiba hii
 
Kama mimi ni tapeli nilimtapeli mkeo nikamtibia na akapona unayo habari hiyoı?
Kwa haya maneno yako inaonekana kweli we tapeli, mke wa mtu anaingiaje hapa, we kama kweli unatibu na wanapona tangaza dawa yako kama babu wa loliondo watu wapange foleni upige hela, kwan babu wa loliondo kuna mtu alie msumbua aseme dawa yake katoa wapi? Hapo ndio tutajua unajiamini na dawa yako zaidi utabaki na mikwara yako kama ulionipiga eti utaniloga[emoji3][emoji3][emoji3]
 
So. Kuna nini...
wanakufa sababu ukisha ambiwa una ngoma hofu itakayo kuvaa hata kula huli mawazo kibao usingizi hupati na mambo kama hayo...baada ya muda ukijiangalia kwenye kioo utaona umekonda hapo tena utaona ngoma isha kula kwangu kumbe mawazo ndio yamekukondesha! na ukifikia hapo lazima kinga ipungue na utakuwa expaused kwa magonjwa kama tb, maleria, kuhara, amoeba, ukurutu,...ukienda magomeni kupata vididonge eti vya kuongeza muda wa kuishi ndio wanakumalizia...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hunishawishii
 
Kwasababu mpaka leo siamini km dawa ipo.. Maana watu wanakufa
Unajuwa Ugonjwa wa Malaria inauwa sana kuliko ugonjwa wa Ukimwi au Ugonjwa wa Saratani aka Kansa unauwa sana Watu haswa hapo nyumbani Tanzania lakini dawa hospitali hakuna Dawa za kienyeji zipo.Hauja shangaa? Ugonjw amwengine upo kwa wingi nchini Tanzania ni Homa ya matumbo aka (Typhoid fever ) dawa za hospitali hazisaidii lakini dawa za kienyeji zinasaidia kuutibu huo ugonjwa wa Homa ya amtumbo bado hujashangaa kwanini? Ugonjwa wa Saratani ya Figo aka (Kidney Cancer) saratani ya Matiti aka (Breast Cancer) Hepatitis B Virus na Prostate Cancer hayo ni baadhi ya Maradhi ambayo hakuna matibabu Ma-Hospitalini ila kwa dawa za Mitishamba unayatibu na mgonjwa anapona. Unajuwa hiyo khabari? Usihangae mkuu shangaa shilingi inazama baharini wakati meli kubwa inaelea majini.
 
Hiyo namba ya sim ya nchi gani?
 
Tiba mbadala ndio solution ya ulimwengu huu,ila tu na nyie punguzeni usanii muimarishe tiba hii
kaka mimi sio msanii mimi nina watibu watu na wanapona ingawa sijajitangazia kwenye Tv au Media lakini nina watibu wagonjw awa maradhi sugu yasiyotibika Ma-Hospitali na wagonjwa wanapona kabisa.
 
kaka mimi sio msanii mimi nina watibu watu na wanapona ingawa sijajitangazia kwenye Tv au Media lakini nina watibu wagonjw awa maradhi sugu yasiyotibika Ma-Hospitali na wagonjwa wanapona kabisa.
Hongera kaka,ni upo fb pia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…