Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Gari linalamba asali sana.Kwa ufupi,hilo gari linapenda starehe kuliko mmiliki wake kwa maisha ya bongoland!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo bei uliyoweka ni kubwa sana hasa kwa namba ulizo weka hapo, hizo namba ulizoweka bei yake ni 4m mpaka 5 kulingana na uzuma wa gari.Si vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Jini mnywa mafuta huyo, ila siyo smart GinKuna jamaa yangu yuko kinondoni analiuza 3M cash namba DH , jana kapewa 2.9 kakataa kama unalitaka sema
Mafuta, ulaji wa mafta ndio sababu kuuWakuu habari za wakati huu?
Ningependa kufahamu hizi gari zimekumbwa na shida gani mpaka watu kuanza kuziuza kwa kasi sana tena kwa bei kutupa kwa gari kali na yenye hadhi kama hii.
Imefikia hatua gari hizi huuzwa hadi kufikia nusu ya bei ya IST used hapa bongo, yaani imekuwa bei ya Brevis mbili za mkononi ni sawa sawa na IST moja iliyotumika hapa bongo.
Karibuni kwa maoni yenu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Haina changamoto ni gari zenye engine kubwa labda suala la running costs.
Hakuna alikataa gari kutumia mafuta, watu amwanachokataa ni kutumia mafuta mengi zaidi kwa nguvu ya kadiri. Crown ina nguvu kubwa na matumizi yake ya mafuta ni nafuu sana, sasa kwann Crown isiwe chaguo la wengi? Hakuna mwenye undugu na mwarabu bossBrevis gari ya maana sana barabarani. Ina nguvu kubwa sana, yaani ndiyo gari inafaa kuendeshwa na Mwanaume. Unakuta Mwanaume anaendesha vitz. Ist na zingine halafu anataka atambe Kwa brevis. Gari lazima itumie mafuta
Tatizo ni unyumbu wetu tu, tukishaanza kuparamia gari aina fulani woote tunaenda. Hii ndo inasababisha gari aina fulani kushuka paap sababu kila mtu anataka auze aungane na wenzake walipokimbilia.Hakuna alikataa gari kutumia mafuta, watu amwanachokataa ni kutumia mafuta mengi zaidi kwa nguvu ya kadiri. Crown ina nguvu kubwa na matumizi yake ya mafuta ni nafuu sana, sasa kwann Crown isiwe chaguo la wengi? Hakuna mwenye undugu na mwarabu boss
ya mdadaSi vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Sasa kwa tangazo hili nani atanunua? Madalali wakti mwingine wanafanya vibaya sana. Si angeandika tu lina tatizo la engine ina miss na smoke? Dada wa watu katoa gari iuzwe kumbe ndo kaweka nuksi.
Huyo ndio dalali anasema inatoa moshi kama umewasha fegi tatu 😂Sasa kwa tangazo hili nani atanunua? Madalali wakti mwingine wanafanya vibaya sana. Si angeandika tu lina tatizo la engine ina miss na smoke? Dada wa watu katoa gari iuzwe kumbe ndo kaweka nuksi.
Hahaha. Hapo ikipata mteja anataka ela yake.Huyo ndio dalali anasema inatoa moshi kama umewasha fegi tatu 😂
Inatetema kama mayele
Amefanya tangazo kishamba sana, hela atataka tena mnaweza kugombanaHahaha. Hapo ikipata mteja anataka ela yake.
Futa wese cc2500 ni ng'ombe
.
Hapo umenena issue kwenye mafuta🤣🤣🤣Nyonya damu. Na haina muonekano mzuri.
Tofauti na crown athletic ina hadhi ingawa ni nyonya damu pia
FactFuta wese cc2500 ni ng'ombe