Kuporomoka kwa Bei ya Brevis

Kuporomoka kwa Bei ya Brevis

Si vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hyo bei uliyoweka ni kubwa sana hasa kwa namba ulizo weka hapo, hizo namba ulizoweka bei yake ni 4m mpaka 5 kulingana na uzuma wa gari.

Hii gari ina matumizi makubwa ya mafuta kuliko Crown, ndio maana mkononi inauzwa bei ndogo kuliko Crown. Engine ya crown ina vvt i sensor 4 wakat brevis moja tu.
 
Wakuu habari za wakati huu?
Ningependa kufahamu hizi gari zimekumbwa na shida gani mpaka watu kuanza kuziuza kwa kasi sana tena kwa bei kutupa kwa gari kali na yenye hadhi kama hii.

Imefikia hatua gari hizi huuzwa hadi kufikia nusu ya bei ya IST used hapa bongo, yaani imekuwa bei ya Brevis mbili za mkononi ni sawa sawa na IST moja iliyotumika hapa bongo.

Karibuni kwa maoni yenu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mafuta, ulaji wa mafta ndio sababu kuu
 
Brevis gari ya maana sana barabarani. Ina nguvu kubwa sana, yaani ndiyo gari inafaa kuendeshwa na Mwanaume. Unakuta Mwanaume anaendesha vitz. Ist na zingine halafu anataka atambe Kwa brevis. Gari lazima itumie mafuta
Hakuna alikataa gari kutumia mafuta, watu amwanachokataa ni kutumia mafuta mengi zaidi kwa nguvu ya kadiri. Crown ina nguvu kubwa na matumizi yake ya mafuta ni nafuu sana, sasa kwann Crown isiwe chaguo la wengi? Hakuna mwenye undugu na mwarabu boss
 
Tatizo ni unyumbu wetu tu, tukishaanza kuparamia gari aina fulani woote tunaenda. Hii ndo inasababisha gari aina fulani kushuka paap sababu kila mtu anataka auze aungane na wenzake walipokimbilia.

Crown na Brevis zinapishana kidogo sana. Lita moja brevis 11km wkat crown 12km mpaka 12.5, hii haiwezi sababisha gap kubwa hivyo la bei. Crown 1 iliyotumika nchini unapata brevis 2 tena ukikaa vzr 3. UNAZIKUMBUKA ALTEZZA? ULIKUWA UKIITAKA UNAUZIWA TSH NGAPI? NA WAKATI HUO HUO CRESTA GX100 ILIUZWAJE? SASA HIVI ALTEZZA BEI ZAKE?

Ccm nao wanajua tabia zetu hivyo wanaitumia kucheza na ushuru wa magari, ila ukiagiza bei huko nje hazitofautiani sana. Hata altezza bei bado ni nzuri tu, ikishaingia humu ndo inakuta watu wote wimbo ni crown inaporomoka bei.
 
Si vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
ya mdada
Screenshot_20230205-085837_Instagram Lite.jpg
 
Back
Top Bottom