Rsm0087
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 361
- 893
Na hicho ndio sisi wabongo wengi hatutaki maana vipato vyetu havituruhusu kwa tulio wengi. Itashangaza utese familia kisa gari kama brevisWatu wanapenda kitonga.. Brevis ni mnyama ni gari ya kazi kama una mkono wa birika ni ngumu kuimiliki
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app