deedee
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 257
- 417
Nadhani maintainance, Brevis kwa mwezi inakula kodi ya nyumba, kama unaiweza haina shida. Passo nadhani iko weak sana (body na engine), hivyo maintainance mara kwa mara ila mafuta kiduchu.BREVIS na PASSO bei zake huwa sielewi why zinakuwaa chini hata kama gari unaonaa ni mpyaa na kali sanaa.