Kuporomoka kwa Bei ya Brevis

Kuporomoka kwa Bei ya Brevis

Isizidi 2000 (2), crown ina nguvu rpm ikivuka moja tu chuma inasepa, usiilazimishe acha gari iende yenyewe utakuja kunishukuru baadae. Zingatia usipende kupata speed kubwa kwa muda mfupi itakughanimu kwenye mafuta maana rpm lazima iende juu sana. Kama ulishafatilia waendeshaji weng wa crown ni wastaarabu sana huwezi sikia muungurumo wa crown labda iwe mbovu, huwa zipo kimya kimyaaaa.
Wazee wa altezza uwa hawajali rpm 😂
 
Brevis gari ya maana sana barabarani. Ina nguvu kubwa sana, yaani ndiyo gari inafaa kuendeshwa na Mwanaume. Unakuta Mwanaume anaendesha vitz. Ist na zingine halafu anataka atambe Kwa brevis. Gari lazima itumie mafuta
255685157514_status_a35494bf06504659b1e7399bd2203a5e.jpg
 
Back
Top Bottom