Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Jambo jema...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jimama wa kuhongwa vpHii yaonesha hili ghorofa la zamani sana, maana lina hadi PAA na bati
Umempa elimu ya bure bila malipo. Ni wachache wanatoa vitu vya bure dunia ya leo. Wewe ni mtu mzuri sana.Time ni Mindset tuu ya eneo fulani.. We unapo ita mwaka wa Mwisho mwarabu ana kalenda yake mchina ana kalenda yake Korea kaskazini hivyo hivyo. Na kuna ambao hawana hizo kalenda pia.
Hizo Codes ni zipi sasa? Tunashindwa kuwa waangalifu na maswala muhimu tunasingizi mwaka wa mwisho?
Matukio mangapi yametoke nje na mwisho wa mwaka jee utayaitaje hayo?
Ni sawa na mtu anae Amini ajili barabarani sababu ni shetani mara majini. Huu ni ujinga ambao tukiendelea ushika hatutawadhibisha wazembe tukitupia lawama sehemu ambazo sio kweli.
Uzembe ndo chanzo cha matatizo mengi Barani Afrika sio sababu ya muda au kalenda.
Kkoo ishakua ya kifala sana.Huyo mwenye jengo awajibishwe,
Hapo kariakoo tukiendelea kuleana tutazika sana kwa uzembe wa wachache.
Wako standby kwa uchaguzi wawapige ChdemaWanajeshi walitakiwa wasaidie.
Ushauri wako ni mzuri, maana hapo mpaka vibaka watajifanya waokoaji.TAHADHARI MUHIMU:Wananchi wasiokuwa na ujuzi na maswala ya uokozi wapungue katika eneo la tukio
Hapo sasa ujue kwamba Mamlaka husika ni Mamlaka za Matumizi mabovu ya Kodi zetu.Huyo mwenye jengo Hadi anatumia hao wahuni wa mtaani mamlaka husika hazioni???
Matajiri uchwara wengi hapo kariakoo wamewaweka wanasiasa mifukoni...Kkoo ishakua ya kifala sana.
Kuna jengo yaan kwa juu limeingilia structure yake imeingilia structure ya jengo jingine, na ujenzi unaendelea bila hofu yyt
Kariakoo ujenzi huwa nauonaga ni wa takataka tu hawana uboraNi hatari sana.
Tatizo kubwa zaidi lililopo Tanzania ni kwamba Hakuna mamlaka madhubuti za kudhibiti viwango na ubora wa Majengo pamoja na ubora wa bidhaa zingine mbalimbali.
Watanzania tunaishi kwa nguvu ya Mungu tu peke yake.
Kwa hiyo hapo pia Mamlaka husika inasubiri litokee la kutokea. Dah! Yupo jamaa humu jamvini huwaga anatafsiri "Kazi kweli kweli =Job tru true"Kkoo ishakua ya kifala sana.
Kuna jengo yaan kwa juu limeingilia structure yake imeingilia structure ya jengo jingine, na ujenzi unaendelea bila hofu yyt