macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kwani ni mara ya kwanza? Likitokea tukio kama hili utasikia imeundwa kamati na matamko ya kila aina. Sku mbili tatu kila mtu kasahau. Dalili za uongo wa nyani hizi.Ni hatari sana.
Tatizo kubwa zaidi lililopo Tanzania ni kwamba Hakuna mamlaka madhubuti za kudhibiti viwango na ubora wa Majengo pamoja na ubora wa bidhaa zingine mbalimbali.
Watanzania tunaishi kwa nguvu ya Mungu tu peke yake.