Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Oya yani nilivyopa taarifa nimeshtuka sana, coz mzee wangu ana maduka huko na mdogo wangu na binamu zangu wako madukani wanasimamia...

Mzee nimempigia alikuwa hapo asubuhi. Haya maisha tumche Mungu kila wakati hakuna anayejua saa wala wakati


Wote wako salama ila kuna majamaa zangu wa huko nyumbani bado tusubiro uokoaji.
Very painful mwenyezi Mungu amakua mwema kwenu.

Maanake hatujui hata nukta mbele yetu

Tumtangulize MUNGU kwa kila jambo
 
Polisi baada ya kujitosa kwenye vifusi naona wanazuia watu wasikaribie jengo, hivi hawa polisi zaidi ya kuzuia maandamano kuna jambo lingine wanaloweza kweli? Mishahara wanayolipwa ni ya kazi gani kama majukum ya wanafanya raia wa kawaida wakati wao ndiyo kazi yao na vifaa wanavyo?
F..v..ck
Hapo polisi wanahusika vip unajua kazi ya polisi na je unajua kazi ya jeshi la zima moto au jeshi la uwokoaji? Umekalili vibaya
 
Pesa za kununua vifaa vya kisasa vya uokoaji na kugharamia mafunzo ya kitaalamu kwa viwango vya kimataifa kwa watu wauokoaji hawana ila wanapesa za kununua magari yenye matenki ya maji ya washawasha na bunduki ili kupambana na raia na kukandamiza haki zao .
Tunarudi kule kule
Priorities
Jambo hili nilieleza Sana wakati ule ilipotokea ajali ya ndege kule Bukoba na wakati ule ilipotokea ajali ya kuporomoka Mlima kule Hanang mkoani Manyara. Lakini inavyoonekana watawala wa nchi bado hawajifunzi kitu kutokana na ajali hizo. Tumekuwa kama 'sikio la kufa' ambalo halisikii dawa.
 
Polisi badala ya kujitosa kwenye vifusi naona wanazuia watu wasikaribie jengo, hivi hawa polisi zaidi ya kuzuia maandamano kuna jambo lingine wanaloweza kweli? Mishahara wanayolipwa ni ya kazi gani kama majukumu yao wanafanya raia wa kawaida wakati wao ndiyo kazi yao na vifaa wanavyo?
F..v..ck
Polisi ndio kazi yao, Uokoaji ni zimamoto
 
yaani nimekuta nawaza sana kama mimi leo asubuhi nilirushwa na umeme wakati nadeki nyumba nzima ilipiga short kila kitu kimezima. sikulichukulia maanani sana ila sasa baada ya kupata taarifa ya kuporomoka nimejikuta nawaza sana. kama hao waliokutwa na umauti wameondoka na kuaga familia zao. wengine ndo walikuwa tegemezi ee Mwenyezi Mungu watie nguvu familia zao na uponye wale waliokutwa na majanga.
 
Back
Top Bottom