Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wapumzike kwa amaniMpaka sasa miili 3 imetolewa,wapumzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumzike kwa amaniMpaka sasa miili 3 imetolewa,wapumzike kwa amani
Yaani walipoanza tu kupeana PhD za mchongo kila kitu kikawa kinatekelezwa nje ya uboraKila siku maghorofa yanaota kama uyoga na hayazingatii ubora wa ujenzi.Huyu mama Abdul karuhusu uholela kufanyika nchini.Ajiuzulu Nchi imemshinda.
Uwe na amani huo mtaa ni nguo na vyombo siyo mtaa wa wauza simu.Kuna jamaa yangu winga kwenye simu simpati, nimeanza kupata wasiwasi dah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anasubiri taarifa toka kwa mama
Shithole country kabisa hii , wale jeshi la uokoaji wako wapi ? , Na yake mabilioni tuliokuwa tunasikia wamepewa kwa ajili ya kununua vifaa na kufanya trainings za kitaalamu kwa watu wake vimeishia wapi mpaka waanze kutumia majembe kuokoa watu ?Watu wana okoa kwa kutumia jembe .kuna mmoja wame mkata na jembe apa badala ya kumuokoa wame malizia
Watu wanazingua kinoma yani,jambo serious mtu anatia utaniOna hili zezeta
Ila akili za watu ziliporomoka ,ukiwemo wewe!Miaka 5 ya Magufuli hamna ghorofa hata moja iliyoporomoka
Pole mkuu tuwaombee wawe wazimaOya yani nilivyopa taarifa nimeshtuka sana, coz mzee wangu ana maduka huko na mdogo wangu na binamu zangu wako madukani wanasimamia...
Mzee nimempigia alikuwa hapo asubuhi. Haya maisha tumche Mungu kila wakati hakuna anayejua saa wala wakati
Wote wako salama ila kuna majamaa zangu wa huko nyumbani bado tusubiro uokoaji.
Wahusika washughulikiwe kama walifanya uzembe.Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
View attachment 3153546
Cool down mkuu haina haja ya haya tuwaombee wenzetu watoke salama kwenye vifusiUkichaa wangu unauzidi alionao Mama yako Mzazi?
Ujenzi umefanyaje? Kama hawakuzingatia vigezo wahandisi ,wamiliki watiwe mbaroniKwa ujenzi unaoendelea kariakoo tutasikia mengi.Poleni sana ndugu zetu kwa maafa haya.
nipo hapa eneo la tukio dah
Hao ndio wahandisi walioibuka enzi za mkwere, alipokuja JPM na kuanza kudili na vyeti feki wakamuona hafai...Huwa wengine wanapandishia juu ya nyumba ya kawaida, nyumba ya kawaida inabadilishwa kuwa ghorofa
Poleni sana wana k/kooNipo mkuu ndo naelekea sahiz. Hapo kwa tommy touch ni kongo na mchikichi na inajazaga watu hiyo kona hapo
Makatapili ,cranes nk vipo so watumie hivyo ,hakuna muujiza zaidi ya kufukua na kukata vifusi Kwa gesiPesa za kununua vifaa vya kisasa vya uokoaji na kugharamia mafunzo ya kitaalamu kwa viwango vya kimataifa kwa watu wauokoaji hawana ila wanapesa za kununua magari yenye matenki ya maji ya washawasha na bunduki ili kupambana na raia na kukandamiza haki zao .
Tunarudi kule kule
Priorities