Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kila siku maghorofa yanaota kama uyoga na hayazingatii ubora wa ujenzi.Huyu mama Abdul karuhusu uholela kufanyika nchini.Ajiuzulu Nchi imemshinda.
Yaani walipoanza tu kupeana PhD za mchongo kila kitu kikawa kinatekelezwa nje ya ubora

1. Rais ana PhD za mchongo ila uongozi sifuri

2. Wabunge wana PhD za mchongo, wanawezaje kudili na wahandisi feki?

Hii nchi ni kichwa cha mwendawazimu kabisa.
 
Polisi badala ya kujitosa kwenye vifusi naona wanazuia watu wasikaribie jengo, hivi hawa polisi zaidi ya kuzuia maandamano kuna jambo lingine wanaloweza kweli? Mishahara wanayolipwa ni ya kazi gani kama majukumu yao wanafanya raia wa kawaida wakati wao ndiyo kazi yao na vifaa wanavyo?
F..v..ck
 
Watu wana okoa kwa kutumia jembe .kuna mmoja wame mkata na jembe apa badala ya kumuokoa wame malizia
Shithole country kabisa hii , wale jeshi la uokoaji wako wapi ? , Na yake mabilioni tuliokuwa tunasikia wamepewa kwa ajili ya kununua vifaa na kufanya trainings za kitaalamu kwa watu wake vimeishia wapi mpaka waanze kutumia majembe kuokoa watu ?
 
Oya yani nilivyopa taarifa nimeshtuka sana, coz mzee wangu ana maduka huko na mdogo wangu na binamu zangu wako madukani wanasimamia...

Mzee nimempigia alikuwa hapo asubuhi. Haya maisha tumche Mungu kila wakati hakuna anayejua saa wala wakati

Wote wako salama ila kuna majamaa zangu wa huko nyumbani bado tusubiro uokoaji.
Pole mkuu tuwaombee wawe wazima
 
Pesa za kununua vifaa vya kisasa vya uokoaji na kugharamia mafunzo ya kitaalamu kwa viwango vya kimataifa kwa watu wauokoaji hawana ila wanapesa za kununua magari yenye matenki ya maji ya washawasha na bunduki ili kupambana na raia na kukandamiza haki zao .
Tunarudi kule kule
Priorities
 
Makatapili ,cranes nk vipo so watumie hivyo ,hakuna muujiza zaidi ya kufukua na kukata vifusi Kwa gesi
 
Back
Top Bottom