Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Umempa elimu ya bure bila malipo. Ni wachache wanatoa vitu vya bure dunia ya leo. Wewe ni mtu mzuri sana.
 
Wengi wetu hatupo katika eneo la tukio, hivyo wakati hayo yote yakiendelea, mliopo katika eneo la tukio msisahau kutuwekea hata picha za hilo ghorofa lililoanguka na kile kinachoendelea katika eneo hilo.

Mungu awanusuru wote waliopo katika mjengo huo. Na wale ambao wamefanikiwa kutoka na kupata madhara mbali mbali, basi Mungu awaponye haraka kwa kutaka kwake na kuwapa nguvu na uwezo wa kurudi katika jamii ili kuendelea na majukumu yao ya kimaisha.
 
Kkoo ishakua ya kifala sana.

Kuna jengo yaan kwa juu limeingilia structure yake imeingilia structure ya jengo jingine, na ujenzi unaendelea bila hofu yyt
Matajiri uchwara wengi hapo kariakoo wamewaweka wanasiasa mifukoni...

Wanatapeli viwanja na kujenga maghorofa chini ya standard zinazo ruhusiwa...

Wanajua hawagusiki, matokeo yake ndio haya.
 
Manengo yataporomoka sana tu, kwasababu haiwezekani majengo siku hizi jengo la ghorofa linajengwa ndani ya miezi mitatu wanne watu wanahamia,sina utaalamu wa masuala ya ujenzi ila kinachoendelea kkoo,hili ni mwanzo tu........wanaanza kujenga underground ila wanakimbia gharama........shida nyingine unakuta mtu anaanza kujenga pembeni kuna ghorofa halina underground, kwahiyo anapochimba analitia ubov majengo jirani yote.
 
Kkoo ishakua ya kifala sana.

Kuna jengo yaan kwa juu limeingilia structure yake imeingilia structure ya jengo jingine, na ujenzi unaendelea bila hofu yyt
Kwa hiyo hapo pia Mamlaka husika inasubiri litokee la kutokea. Dah! Yupo jamaa humu jamvini huwaga anatafsiri "Kazi kweli kweli =Job tru true"
 
Jeshi la uokoaji mmetukera Leo
Yàani hata trekta hamna
Watu wanavunja Kwa Nyundo na wasomba matofali wenyewe

imetokea saa 2 ila hadi Sasa hivi vyombo vya uokoaji vimelala

Na hapo ni DAR, Je ajalie ikitokea kwetu Ngara inakuwaje

Watanganyika wenzetu wanakufa wanajiona

Jeshi la uokoaji jitafakari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…