Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

ni wanne hadi kufikia saa 11 jioni ...hiyo ni rasmi kutoka vyombo rasmi
Lazima tuwape hongera kwa kuokowa hidadi kubwa,..... "kwa kweli tunamsshukuru Raisi kwa kuwezesha waokoaji" ni suala la mda utasikia hi nchi inawapumbavu wengi.
 
Suala hili Hatuwezi kuliacha mikononi mwa Serikali kwa sababu Serikali hiyo hiyo ilikuwa na wajibu wa msingi kabisa wa kutoa Kinga ili ajali kama hizi zisitokee, lakini Serikali inaonekana kushindwa kutekeleza wajibu wake huo na hatimaye ajali hii imetokea wakati kulikuwa na uwezekano wa kuikinga isitokee. Serikali inapaswa kulaumiwa kwenye suala hili, kwani ajali hii haikusababishwa na kudra za Mungu Bali ni kutokana na tatizo la uzembe, rushwa na kukosa kuwajibika ipasavyo kwa Watu fulani fulani.
Ajali hii ilikuwa inazuilika na ilikuwa inaweza kuepukika.

This accident is not a natural disaster but it is a man-made disaster due to the negligence and incompetence.
 
Mzeee hapo hapo wanataka na kupiga pesa utasikia zoezi ya uwokoaji limeghalimu 50mil bong nyoso
 
Mahututi chini ya kifusi kama hawakufikiwa mapema ni kifo. Sijakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…