Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Mkuu majina yanaakisi mtu alivyo that's why tunashauriwa tuwachagulie watoto majina yenye manktiki kidogo.
Mkuu, nakumbuka baadhi ya maandiko yako kwenye uchangiaji mbalimbali!

Leo tuwaulize wale wanawake wanaotaka wa haki sawa! Mwanaume na mwanamke ni sawa tu! Wameona kazi kubwa ya uokoaji hapo Kariakoo imefanywa na wanaume hapo? Wao wapo wapi? Kazi yao ilibaki kulia tu!

Kazi yao harakati nyingi semina kwa wingi kuimbisha tu eti lazima jamii itambue hakuna tofauti baina ya wanawake na wanaume kwani wote ni sawa! Haya leo kiko wapi! Kiko wapi? Waone wanaume jinsi tunavyofanya kazi hapo!

Kama wazee wetu wanavyosema: Mwanaume atabaki kuwa kichwa, kuwa kiongozi wa familia na jamii kwa ujumla.
 
Ukiondoa uwezo wa kutetea hoja bila maarifa na kuzua taharuki mwanamke hakuna anachofanya mwanaume ataweza kukifanya kikawa bora au hata kukikaribia,mwanamke anafikiri haki sawa ni kuendesha gari kama mwanaume,pikipiki kumiliki biashara japokuwa biashara zenyewe wanahongwa na wanaume etc.

Ndani ya uwanja wa haki sawa mwanamke hawezi ku-survive kwa sababu mwanaume hakuumbwa kuzubaa ila mwanamke ni kiumbe zubaifu kinachosikilizia upepo unakoelekea,wanaoshadadia sana hii kampeni wanajua fika jinsi ilivyo vigumu kufanya wanayofanya wanaume so hujikita zaidi kutaka sisi wanaume tufanye wanayofanya wao eg kupika,kufua kudeki kubembeleza sijui watoto nimeshangaa juzi nimesoma wanataka pia warudi saa nane za usiku kama wanaume.

In short,mwanamke asiyekuwa na akili akiwasikiliza hawa wanaharakati ajue anaondoa utulivu wake wa nafsi coz hakuna mwanaume atakubali malumbano ya kupangiana majukumu wakati inaeleweka tangu enzi na enzi mwanamke atafanya haya mwanaume atafanya yale ni kama leo tu wanawake wao wamelia kwa uchungu imewapa motisha wanaume kupambana wawatoe wahanga na ndivyo asili inavyofanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…