Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Akizungumza akiwa katika eneo la tukio lilipo anguka ghorofa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema

"Kwa wale wachache waliopata madhara ya Kifo hadi sasa inavyoonekana walifariki kwenye......"

Wana siasa wa Tanzania buana utajua je sababu ya kifo cha mtu haliakua wewe sio fakitari na hujafanya postmortem ya marehemu..... uchawa wakupata uteuzi unawafanya wasomi kua wajinga.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kweli sijaona kila kitu kwenye hii dunia
Pale Zenji, zile ghorofa za mji mkongwe kila siku zinarekebishwa ndani kwa ndani, mbaya zaidi nyingine zinafanywa kuwekwa partition kwa ndani... So kama ilikuwa na kuta za kutenganisha vyumba.. kuta zinabomolewa na kujengwa style nyingine kwa ndani ili tu wapate vyumba vingi na kufanya apartment... sasa sijui kama haina madhara hii
 
Hiyo ni kauli ambayo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameitoa asubuhi hii kupitia vyombo vya habari akiwa Kariakoo.

My take: Kwanini uwadanganye watu? Kama mmewafikia wahanga mkaweza kuwapa hivyo vitu sasa mnafanya tena jitihada zipi kuwafikia ili kuwaokoa? Si mngewachukua muondoke nao kama mmeweza kuwafikia?

Hii serikali ya Samia sijui kwanini hawataki kujisahihisha na kurudi kwenye mstari!
 
Kuwafikia na kuwatoa ni jambo jingine. Kufukiwa na kifusi kama hiko si rahis kumtoa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…