Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Katika Afrika ambako kuna tawala zinazonuka rushwa kila Mahali majanga na matukio mabaya kama haya kutokea ni kitu cha kawaida kabisa, wala hata haishangazi.
 
Ni hatari sana.

Tatizo kubwa zaidi lililopo Tanzania ni kwamba Hakuna mamlaka madhubuti za kudhibiti viwango na ubora wa Majengo pamoja na bidhaa zingine mbalimbali.
Watanzania tunaishi kwa nguvu ya Mungu tu peke yake.
Si hivyo tu hatuna quality assuarance system hadi kwenye vitu serikali inanunua. Serikali inanunua ilimradi. But hakuna anae hakikisha its the right fit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…