DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Poleni Sana watu wote mtakaokuwa mmefikiwa na hii changamoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuone daktari kuna shida kichwaniSafi Sana
kazi iendelee
Unakatwa na ngedere wanaokata umeme wa SGR.Safi Sana
kazi iendelee
Nipo salama kaka! Sema Ile hatar mi wakati napita nimeona kama limeporomoka upande Moja hiviDuh hatari Kalaga Baho Nongwa upo salama mkuu? Mpaji Mungu ?
Sijui kama atajibu tena🤣🤣🤣Kila binaadam anakufa kwa aina yako, pengine wewe utaingia ktk shimo la choo kwanza unywe mavi uokolewe halafu baadae ufariki
Huwa wengine wanapandishia juu ya nyumba ya kawaida, nyumba ya kawaida inabadilishwa kuwa ghorofaHaya magorofa ya chap chap yatadondoka sana
Ni hatari sana mkuu poleniNipo salama kaka! Sema Ile hatar mi wakati napita nimeona kama limeporomoka upande Moja hivi
Katika Afrika ambako kuna tawala zinazonuka rushwa kila Mahali majanga na matukio mabaya kama haya kutokea ni kitu cha kawaida kabisa, wala hata haishangazi.Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
Si hivyo tu hatuna quality assuarance system hadi kwenye vitu serikali inanunua. Serikali inanunua ilimradi. But hakuna anae hakikisha its the right fitNi hatari sana.
Tatizo kubwa zaidi lililopo Tanzania ni kwamba Hakuna mamlaka madhubuti za kudhibiti viwango na ubora wa Majengo pamoja na bidhaa zingine mbalimbali.
Watanzania tunaishi kwa nguvu ya Mungu tu peke yake.
Duuh kwamba ni umefurahia hilo tukio mkuu??🤔🤔Safi Sana
kazi iendelee