Daah! Na fire makao makuu ni mita chahe kutoka hapoWatu wana okoa kwa kutumia jembe .kuna mmoja wame mkata na jembe apa badala ya kumuokoa wame malizia
Ghorofa litaanguka likipewa hekaheka na uzito. Watu kama hamna si linakuwa limetulia hakuna hata mtikisiko wa chini kabisa.Ajali bana!!
Hii mitaa kuanzia mida ya saa tatu usiku inakuwa Haina watu wachache sana,ila ghorofa limesubiri mida ya asubuhi alafu weekend ndiyo limeporomoka.
Unakuta wengine tulipanda nao magari asubuhi kuelekea mjini alafu wamefikiwa na umauti kwa kuangukiwa na ghrofa.
Kifo ni fumbo!!
Kipi kinakufurahisha?Safi Sana
kazi iendelee
Ni afadhali , inaweza kuwa madhara machahe ya kibinadamu, but msamiati wa tahadhari kwetu ni mgumu.Ni la zamani lilikuwa linabomolewa lijengwe jipya...
Ila watu walikuwa hawajamaliza wote kuondoka..
Kkoo mpaka saa tatu asubuhi watu huwa si wengi, plus leo weekendHili ghorofa nalijua,mbaya zaidi limeporomoka asubuhi wakati watu wameshafungua mafoli yao na huo mtaa una watu wengi sana na Leo wikiendi.
Tuwaombee hao waliofukiwa na kifusi maana kwa uokoaji huo wa kutumia mikono!!
Nchi yetu inaharibiwa vibaya na rushwa,na uzembe,inaumiza sana !Tutarajie mengi zaid kuporomoka maana sio kwa kasi hii ya majengo yanayojengwa hapo kariakoo. Na kuna mdau humu alishaonya kuwa jamani haya majengo yanayojengwa kwa kasi hapa kariakoo je taratibu za kitaalam za ujenzi zinafuatwa?????
Mama Abdul anaingiaje hapo? Hapa wa kutugumiwa ni mhandisi na mjenzi.Kila siku maghorofa yanaota kama uyoga na hayazingatii ubora wa ujenzi.Huyu mama Abdul karuhusu uholela kufanyika nchini.Ajiuzulu Nchi imemshinda.
Siyo suala la mwisho wa mwaka bali ubovu wa jengoMwisho wa mwaka majanga ni mengi sana, Mungu ajaalie ndugu zetu watoke salama
Kwa Bongo haishangazi kabisaMuda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
View attachment 3153546
Watapita wapi kwa haraka hadi eneo la ajali kwa jinsi palivyo shonaDaah! Na fire makao makuu ni mita chahe kutoka hapo
Hilo jengo lilikuwa linajengwa?Muda huu waokoaji wanafukua kifusi ili kuokoa wenzetu...
Kamuone daktari kuna shida kichwani
Nafikiri mnamtafsiri vibaya huyu mtu, ukitafakari kwa kina Sana kuhusu hoja zake nafikiri unaweza ukamwelewa vizuri.Unakatwa na ngedere wanaokata umeme wa SGR.