Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Gari la zimamoto linakaaje foleni zId ya nusu saa wakati fire na kariakoo ni karibu sana hapo kingora kimoja tu watu wanapisha njiaaa
 
Hili ghorofa nalijua,mbaya zaidi limeporomoka asubuhi wakati watu wameshafungua mafoli yao na huo mtaa una watu wengi sana na Leo wikiendi.

Tuwaombee hao waliofukiwa na kifusi maana kwa uokoaji huo wa kutumia mikono!!
Kikosi cha uokoaji akijafika?
 
Magorofa yanayochipuka kama uyoga.. Tutaishia kuunda tume
maghorofa kuchipuka ni jambo zuri sana maana duniani kote kuna crisis ya makazi issue ni wasimamie ubora
Spain crisis imekuwa kubwa hadi wenyeji wanafukuza na kushambulia watalii kwamba wanakuja kuongeza tatizo la nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…