Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee na wewe umekuwa Ms*** sasa kila kitu Mama Abdul Mama AbdulKila siku maghorofa yanaota kama uyoga na hayazingatii ubora wa ujenzi.Huyu mama Abdul karuhusu uholela kufanyika nchini.Ajiuzulu Nchi imemshinda.
Na haya yoote yako ndani ya uwezo wetu kuyadhibiti wala sio makubwa hata kidogoNchi yetu inaharibiwa vibaya na rushwa,na uzembe,inaumiza sana !
Hio ndio changamoto, lakini pia wanaweza kutumia hata helicopterWatapita wapi kwa haraka hadi eneo la ajali kwa jinsi palivyo shona
Ghorofa hilo lilikuwa katika hatua za ujenzi au lilikuwa limekamilika na watu wakilitumia kwa makazi na biashara?nipo hapa eneo la tukio dah
Gari la zimamoto linakaaje foleni zId ya nusu saa wakati fire na kariakoo ni karibu sana hapo kingora kimoja tu watu wanapisha njiaaaHao raia wengine waliopanda magorofa jirani nao wanakosea wanaelemea majengo upande mmoja na mengi pale yamechoka na ujenzi materials ukute ndio kama hilo lililoporomoka.
Hilo jengo nimenunua bidhaa chache last weekend. Uokoaji Kariakoo huchelewa sababu ya foleni, kuna jengo liliungua mitaa ya Congo gari la zimamoto lilikaa foleni zaidi ya nusu saa huku wakiwa kwenye visibility ya moto. Raia na madereva wamezoea kuweka foleni hawashtuki haraka kupisha.
Hapo sawaHili ghorofa lilikuwa linabomolewa ndo likaporomoka lote
Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
View attachment 3153546
Duh,Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
View attachment 3153546
Kikosi cha uokoaji akijafika?Hili ghorofa nalijua,mbaya zaidi limeporomoka asubuhi wakati watu wameshafungua mafoli yao na huo mtaa una watu wengi sana na Leo wikiendi.
Tuwaombee hao waliofukiwa na kifusi maana kwa uokoaji huo wa kutumia mikono!!
maghorofa kuchipuka ni jambo zuri sana maana duniani kote kuna crisis ya makazi issue ni wasimamie uboraMagorofa yanayochipuka kama uyoga.. Tutaishia kuunda tume