Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Hao raia wengine waliopanda magorofa jirani nao wanakosea wanaelemea majengo upande mmoja na mengi pale yamechoka na ujenzi materials ukute ndio kama hilo lililoporomoka.

Hilo jengo nimenunua bidhaa chache last weekend. Uokoaji Kariakoo huchelewa sababu ya foleni, kuna jengo liliungua mitaa ya Congo gari la zimamoto lilikaa foleni zaidi ya nusu saa huku wakiwa kwenye visibility ya moto. Raia na madereva wamezoea kuweka foleni hawashtuki haraka kupisha.
Gari la zimamoto linakaaje foleni zId ya nusu saa wakati fire na kariakoo ni karibu sana hapo kingora kimoja tu watu wanapisha njiaaa
 
Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.

Tuwaombee wnzetu wapone
===

Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo

View attachment 3153537

View attachment 3153536
View attachment 3153546
IMG_4822.jpeg
IMG_4821.jpeg
IMG_4820.jpeg
 
Hili ghorofa nalijua,mbaya zaidi limeporomoka asubuhi wakati watu wameshafungua mafoli yao na huo mtaa una watu wengi sana na Leo wikiendi.

Tuwaombee hao waliofukiwa na kifusi maana kwa uokoaji huo wa kutumia mikono!!
Kikosi cha uokoaji akijafika?
 
Back
Top Bottom