Jengo linalobomolewa kwanini lisiwekewe utepe mwekundu kusitisha matumizi maana wakati wa ubomoaji kuna cracks zinatokea na zinaweza kusababisha jengo kuporomoka wakati wowote. All in all kuna uzembe hapo umefanyika na ndio umepelekea haya majangaNi la zamani lilikuwa linabomolewa lijengwe jipya...
Ila watu walikuwa hawajamaliza wote kuondoka..
Bwana Suleiman wa kizazi kipya, sijaelewa unaposema "Safi sana" you mean umefurahia ghorofa kudondoka au uokozi unao endelea? SijaelewaSafi Sana
kazi iendelee
Maghorofa ya kkoo yanajengwa kwa matofali kuanzia foundation hadi juu kabisa,sasa ukijenga ili mradi(low quality) matokeo yake ni haya ya kuzidiwa uzito na kuporomoka.Ghorofa litaanguka likipewa hekaheka na uzito. Watu kama hamna si linakuwa limetulia hakuna hata mtikisiko wa chini kabisa.
Absolutely.Jengo linalobomolewa kwanini lisiwekewe utepe mwekundu kusitisha matumizi maana wakati wa ubomoaji kuna cracks zinatokea na zinaweza kusababisha jengo kuporomoka wakati wowote. All in all kuna uzembe hapo umefanyika na ndio umepelekea haya majanga
Unamaanisha nini?Uzito usiku haukuwepo
Na kama ulikuwa unaichukulia poa jumuiya kwa kusema upo busy na kazi basi ukiokoka hapo hakuna siku utaacha kwenda.Kama ameenda kusali jumuia na hiyo ndio mitaa yako ya kazi. Basi ndo kama vile umeepuka soo
Kwani ukiambiwa waokoaji kinachokujia akilini ni gari la zimamoto!!?Gari la zimamoto linakaaje foleni zId ya nusu saa wakati fire na kariakoo ni karibu sana hapo kingora kimoja tu watu wanapisha njiaaa
Kutokulaaani wanayofanyiwa Wapalestina Ghaza, ndiyo tunaonjeshwa adha yake.
Nchi imekamatwa na matajiri wanachoangalia wao faida tu,yaani hakuna utaratibu watu wanahonga viongozi wananchi mtaani tunaumia.Kuna majengo Kariakoo tunayahesabia siku tu,ujenzi holela pia umekithiri siku hizi.
Zinajengwa ghorofa nyingi zina underground na hazina Ubora.
Mtu anajenga fremu,anapangisha Kisha anaendelea na ujenzi juu!
Watu kuangukiwa na mawe na nyundo chini ni jambo la Kawaida tu kariakoo!
Ndio tulipofika!