Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Nimeona mahali kwamba Zoezi la uokozi limeahirishwa pale Kariakoo kisa Giza au Usiku umeingia.

Binafsi naona kwa Dunia ya sasa yenye Teknolojia za kila aina kusitisha Zoezi la kuokoa watu kisa Giza ni jambo la kushangaaza kwa Nchi kama Tanzania.

Gorofa lenyewe ni moja kwa jiji lenye kila rasilimali za kila aina Dar es salaam, bado linatushinda... Je yangeanguka magorofa matano au zaidi tungemudu vipi kuokoa watu, au tukio hilo lingetokea huko Tandahimba.

Kiuhalisia Jeshi la uokozi na watu wanaohusika moja kwa moja na kazi hizi za uokoaji wajitathmini, n kukaa tayari kwa majanga ya hapo baadae endapo yakitokea basi tuweze kupambana nayo kikamilifu na sio kukwamishwa na Giza.

Zoezi kubwa limefanywa na wananchi ambao hata Elimu ya uokoaji hawana, ila wamepambana kuokoa binadamu wenzao na kuhakikisha wanatoka wakiwa hai.

Niwapongeze wananchi aisee, kazi nzuri
 
Sorry Zoezi Limesitishwa Sababu Ni Usiku?????

Hatuko Serious Kabisa
 
Serious kabisa?
Hivi wangekuwa ndugu zao wamekwama huko chini wangesitisha hilo zoezi kuna muda viongozi wetu wanajisahau sana sasa hapo kinachoshindikana ni nini kuna taa hadi za watts 10000 si wazifunge wanajeshi wapo si waimarishe ulinzi wa kutosha.

Hivi mkuu wa wilaya anashindwa kuunda tomu A na B au hata team C zikawa zinapokezana chap kwa haraka hiyo kifusi hapo kuondoa kwa team work kesho jioni kingekuwa kimeshaisha hili nalo ni hadi rais atoe kauli yake kweli mbona tuna viongozi mizigo sana.

Kama wamesitisha kwa hili hapana watanzania tupaze sauti hawa viongozi wetu wanashida isee au wao ndio wametoa kafara hao watu.
 
Nimeona mahali kwamba Zoezi la uokozi limeahirishwa pale Kariakoo kisa Giza au Usiku umeingia.

Binafsi naona kwa Dunia ya sasa yenye Teknolojia za kila aina kusitisha Zoezi la kuokoa watu kisa Giza ni jambo la kushangaaza kwa Nchi kama Tanzania.

Gorofa lenyewe ni moja kwa jiji lenye kila rasilimali za kila aina Dar es salaam, bado linatushinda... Je yangeanguka magorofa matano au zaidi tungemudu vipi kuokoa watu, au tukio hilo lingetokea huko Tandahimba.

Kiuhalisia Jeshi la uokozi na watu wanaohusika moja kwa moja na kazi hizi za uokoaji wajitathmini, n kukaa tayari kwa majanga ya hapo baadae endapo yakitokea basi tuweze kupambana nayo kikamilifu na sio kukwamishwa na Giza.

Zoezi kubwa limefanywa na wananchi ambao hata Elimu ya uokoaji hawana, ila wamepambana kuokoa binadamu wenzao na kuhakikisha wanatoka wakiwa hai.

Niwapongeze wananchi aisee, kazi nzuri
Serious kabisa?
Hivi wangekuwa ndugu zao wamekwama huko chini wangesitisha hilo zoezi kuna muda viongozi wetu wanajisahau sana sasa hapo kinachoshindikana ni nini kuna taa hadi za watts 10000 si wazifunge wanajeshi wapo si waimarishe ulinzi wa kutosha.

Kama wamesitisha kwa hili hapana watanzania tupaze sauti hawa viongozi wetu wanashida isee au wao ndio wametoa kafara hao watu.
Nothing new.

Hata kama ni kweli, hii siyo mara ya kwanza kutokea.
 
Sidhani kama utakuwa uko sahihi kwa Hoja yako hii kuhusiana na tukio hili.
Kitaalamu timu ya Waokoaji walipaswa kuwasili mapema zaidi kwenye hilo eneo la tukio, isipokuwa hao Waokoaji walipaswa kuwasili kwa awamu tofauti tofauti wakiwa katika makundi ya Watu wachache. Mathalani, Waokoaji kumi wangewasili ndani ya Nusu saa baada ya ajali kutokea, kisha baadaye wangeendelea kuwasili waokoaji wengine kwa makundi yenye idadi kadhaa ya Waokoaji. Hivyo Basi, hata kama ajali hiyo ingekuwa tukio 'chambo' Basi idadi ya Waokoaji Wahanga ingeweza kuwa ndogo. Masaa matano ni mengi Sana, waokoaji walichelewa Sana kuwasili katika eneo la ajali kwa ajili ya kazi ya uokozi wa wahanga, usiwatetee hao Waokoaji.
Nani kakwambia kama hao wachache hawakuwasili ndani ya muda?
So far the response has been handled professionally.
Kumbuka kazi muhimu ya uokoaji au vikosi vya uokoaji ni kwa ajili ya wale mahututi ....katika scene kama hii wapo wengi wanaoweza kujiokoa hawa huwa na madhara machache.
Inahitajika akili kuwaokoa walio mahututi.
Haraka haraka isiyo na utaalamu ina madhara ya kuwaumiza hata wale wanaoweza kujiokoa au hata kuwaokoa wenzao.
Hebu tuwaachie Serikali na Wananchi wazalendo watimize jukumu hili ...sio kulaumu nyuma ya keyboard
 
Mwanasheria wangu yupo martenity
IMG_4279.jpeg
 
Back
Top Bottom