Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

So sad
1731908716851.jpg
1731908655456.jpg
1731908576382.jpg
 
Kuanguka kwa ghorofa la Kariakoo, na lile la wakati wa marehemu Lowassa akiwa PM ni ishara tosha ya tatizo kubwa la nchi linalozidi hata kansa ya binadamu. Kwa kifupi kwa kiwango cha juu, jamii nzima ya Tanzania inaumwa ugonjwa hatari. Na 'ugonjwa huo nahisi unajumuisha ujinga na upumbafu uliokithiri.'

View attachment 3155051
"Wherever you see Black people you see problems, been Black itself alone is the problem."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.

TAFSIRI:

["Popote umuonapo mtu mweusi LAZIMA utaona pana matatizo, kitendo tu cha kuwa mtu mweusi tayari ni tatizo."

Pieter W. Botha, Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini enzi za ubaguzi wa rangi]
 
Tunalo tatizo la uwezo wa kufikiri, labda kama sisi watawala tumeamua kuliangusha jengo Kwa maksudi
 
Ni nchi gani hapa duniani yenye watu wenye akili haipatwi majanga?
Majanga ni majanga mzee hatuwezi fanana majanga..
Kila ardhi na majanga yake...
Huko unakoona Kuna watu Wana akili ndo Kwanza wanapigana na kuuana Tena kwa vyombo vizito..
Punguzeni ujuaji wa kindezi kwamba tuishi soft soft Bila matatizo?
Moja ya tatizo alilosema mtoa mada lipo hapa
 
Hakuna kamati wala ripoti itakayotoka, ripoti hazisaidiagi kitu, maskini tuendelee kuwasifia matajiri, wao wanawaishwa india na private jet na kurudishwa na majenenza huku sisi tukibebwa na kirikuu.
Si afadhali hata hao Wahanga wamebebwa kwenye kirikuu, nenda huko Vijijini ukajionee wewe mwenyewe, Wagonjwa na maiti huko zinabebwa kwenye machela ya miti mabegani.
Kwenye vijiji vingine wagonjwa au maiti wamekuwa wakibebwa kwa kutumia 'Vitanda vya matendegu,' yaani ni aibu tupu nchi hii.

Yaani hadi Karne hii ya 21 katika nchi hii wagonjwa bado wanaendelea kubebwa kwenye Machela ya miti au kwenye vitanda vya matendegu!!!???????
Ridiculous!
 
Nchi ya hovyo sana yaani kila kitu hatuwezi lakini ingekua mtu kamtukana saa100 ama kamdhihaki kwa misafari yake isiyo na kichwa wala miguu wangemtoa hata kama angekua kwenye ghorofa ya 50 huko chini lakini watu wanapiga simu mpaka wanaishiwa chaji na hewa wanakufa watu hawana mbinu zozote za kuondoa tabaka la juu kwa haraka ili wawafikie wahanga ,wamekuja mawaziri uchwara wanaofubaza virusi kwa dawa hapo na kupaka picle hawana msaaa, imegine mtu anadai tumewawekea glucose na maji SERIOUSLY? wanaenda kupiga picha badala ya kuokoa kwani wangesitisha ujenzi jiji zima kampuni zote zikahamia pale wakakata kuta na kuondoa kifusi wakatupe jangwani kwa haraka ili layers zipungue na watu watolewe, napata tabu sana kuna hadi wafungwa wanafirana tu huko magereza maaneeneeer kwanini wasigechukuliwa waje kuokoa? hakuna mwenye akili hata mmoja kazi kusifiana tu imagine siku ya 4 hakuna hata tani moja ya udongo iliyoondolewa ili wachini wafikiwe hii nchi ikoje? Walah nikirud huko mniite mbwa.
 
Ukiwa na akili timamu sawa sawa kabisa, kuishi Afrika ni mateso makubwa Sana, tena ni msiba mzito sana kuishi katika bara hili.
 
Back
Top Bottom