Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Wherever you see Black people you see problems, been Black itself alone is the problem."Kuanguka kwa ghorofa la Kariakoo, na lile la wakati wa marehemu Lowassa akiwa PM ni ishara tosha ya tatizo kubwa la nchi linalozidi hata kansa ya binadamu. Kwa kifupi kwa kiwango cha juu, jamii nzima ya Tanzania inaumwa ugonjwa hatari. Na 'ugonjwa huo nahisi unajumuisha ujinga na upumbafu uliokithiri.'
View attachment 3155051
Moja ya tatizo alilosema mtoa mada lipo hapaNi nchi gani hapa duniani yenye watu wenye akili haipatwi majanga?
Majanga ni majanga mzee hatuwezi fanana majanga..
Kila ardhi na majanga yake...
Huko unakoona Kuna watu Wana akili ndo Kwanza wanapigana na kuuana Tena kwa vyombo vizito..
Punguzeni ujuaji wa kindezi kwamba tuishi soft soft Bila matatizo?
Si afadhali hata hao Wahanga wamebebwa kwenye kirikuu, nenda huko Vijijini ukajionee wewe mwenyewe, Wagonjwa na maiti huko zinabebwa kwenye machela ya miti mabegani.Hakuna kamati wala ripoti itakayotoka, ripoti hazisaidiagi kitu, maskini tuendelee kuwasifia matajiri, wao wanawaishwa india na private jet na kurudishwa na majenenza huku sisi tukibebwa na kirikuu.
Nikafikiri Niffer ni Mkuu wa mkoa ama mkurugenzi flani, nime google sijaona, mwenye kujua huyu afisa ni kitendo gani anitag!Michango imeanza
Ehe niffer ndy nani kwani
Ova
Ukiwa na akili timamu sawa sawa kabisa, kuishi Afrika ni mateso makubwa Sana, tena ni msiba mzito sana kuishi katika bara hili.Nchi ya hovyo sana yaani kila kitu hatuwezi lakini ingekua mtu kamtukana saa100 ama kamdhihaki kwa misafari yake isiyo na kichwa wala miguu wangemtoa hata kama angekua kwenye ghorofa ya 50 huko chini lakini watu wanapiga simu mpaka wanaishiwa chaji na hewa wanakufa watu hawana mbinu zozote za kuondoa tabaka la juu kwa haraka ili wawafikie wahanga ,wamekuja mawaziri uchwara wanaofubaza virusi kwa dawa hapo na kupaka picle hawana msaaa, imegine mtu anadai tumewawekea glucose na maji SERIOUSLY? wanaenda kupiga picha badala ya kuokoa kwani wangesitisha ujenzi jiji zima kampuni zote zikahamia pale wakakata kuta na kuondoa kifusi wakatupe jangwani kwa haraka ili layers zipungue na watu watolewe, napata tabu sana kuna hadi wafungwa wanafirana tu huko magereza maaneeneeer kwanini wasigechukuliwa waje kuokoa? hakuna mwenye akili hata mmoja kazi kusifiana tu imagine siku ya 4 hakuna hata tani moja ya udongo iliyoondolewa ili wachini wafikiwe hii nchi ikoje? Walah nikirud huko mniite mbwa.