Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh poleni...Amen.
Ila wakati tunasafiri kwenda kuzika Tunduma kuna gari ndogo tuliyokuwa nayo kwenye msafara Igurusi ikapata ajali baba mdogo wa marehemu akafariki. Mwili wake ukahifadhiwa pale hospitali ya chimala.. na tukapokea taarifa kuna mfanyabiashara mwenzetu wa kkoo mtoto wake wa miaka 10 amejinyonga chumbani kwake.. 🥹
Ikabidi wengine wabaki mana msiba wameleta jana upo mbalizi.
80% ya majengo yana uhusiano na viongozi waandamizi.Ni aibu iliyoje hadi leo mmiliki hajulikani wala hatajwi
Poleni jamani.Amen.
Ila wakati tunasafiri kwenda kuzika Tunduma kuna gari ndogo tuliyokuwa nayo kwenye msafara Igurusi ikapata ajali baba mdogo wa marehemu akafariki. Mwili wake ukahifadhiwa pale hospitali ya chimala.. na tukapokea taarifa kuna mfanyabiashara mwenzetu wa kkoo mtoto wake wa miaka 10 amejinyonga chumbani kwake.. 🥹
Ikabidi wengine wabaki mana msiba wameleta jana upo mbalizi.
Naskia kakimbilia ugaibuni na familia yakeBado tunamtafuta mwenye jengo
Kwani hakuna tittle deed ama majengo ya kariakoo hayasajiliwi!?Bado tunamtafuta mwenye jengo
Nchi ya kusadikika.Bado tunamtafuta mwenye jengo