Sijakushangaa kutopost. Nimekushangaa kutumia energy yako kuuliza kwa nini wanapost ?Yaani kuuliza kuhusu vitendo vya watu ambao hawafanyi kosa lolote kisheria.Na mimi huwa nawashaangaa nyie ambao mnapost maisha yenu kwenye social platform kila muda kama wewe unavyonishaangaa mimi
Mpaka sasa wewe mwenyewe umeshindwa kumind your own business kama ulivyomshauri. Yeye kauliza kwa vile social media anatumia wala hatoki kwenda nyumbani kwa mtu kumchunguza. Mtu akipost status nikaiona unatanambia nimind my own business, kwani nimeiomba. Hii kauli mnaitumia mbali sana na inapostahili kuishia.Mind your own business. Kama mtu yupo Ok kupost maisha yake wewe unapungukiwa nini ?Au unaongezeka nini ?Kipe Yayo. Angalia maisha yako.
Ndo hivyo yaani.Kumbe ndio hivo
Nilitaka kujua kama kuna faida ila na mimi nipostSijakushangaa kutopost. Nimekushangaa kutumia energy yako kuuliza kwa nini wanapost ?Yaani kuuliza kuhusu vitendo vya watu ambao hawafanyi kosa lolote kisheria.
Kaleta thread nimeona nichangie. Kaileta hapa public. Namuelekeza tu aache kutuwaste energy yake kufikiria watu kwa nini wanapost maisha yao mitandaoni. Kama yeye asivyopost ndiyo wao wanavyopost. Mimi sio mtu wa kupost ila sijiulizi kwa nini wengine wanapost.Mpaka sasa wewe mwenyewe umeshindwa kumind your own business kama ulivyomshauri. Yeye kauliza kwa vile social media anatumia wala hatoki kwenda nyumbani kwa mtu kumchunguza. Mtu akipost status nikaiona unatanambia nimind my own business, kwani nimeiomba. Hii kauli mnaitumia mbali sana na inapostahili kuishia.
Umemjibu vyemaMpaka sasa wewe mwenyewe umeshindwa kumind your own business kama ulivyomshauri. Yeye kauliza kwa vile social media anatumia wala hatoki kwenda nyumbani kwa mtu kumchunguza. Mtu akipost status nikaiona unatanambia nimind my own business, kwani nimeiomba. Hii kauli mnaitumia mbali sana na inapostahili kuishia.
Follow your inituations.Nilitaka kujua kama kuna faida ila na mimi nipost
NB ahsante kwa mchango wako
Wangekuwa wanapost mijengo,mabiashara,mandinga,uwekezaji huko insta tuhamasike lakini 99% ya posts ni kuonyesha makalio na vyakula kwenye meza tu!!Wakuu habari za jumapili
Niende moja kwa moja kwenye mada husika
Kuna hawa watu ambao wanaweza wakawa labda ni ndugu au rafiki,yaani unakuta mtu yupo addicted kupost maisha yake yote kwenye hii mitandao ya kijamii
Yaani mpaka unajikuta maisha yake unayajua kwa asilimia kadhaa kwa sababu ya kupost kwenye hizi social Media
Mpaka mtu akiwa na ugomvi na mtu unakuta anapost maneno ambayo ukikakaa ukiyafikiria unaona kabisa amemlenga mtu fulani
Sasa nyie ambao huwa mna hii tabia ,Je huwa mnapata faida gani kupost maisha yenu kwenye mitandao ya kijamii?
Majangaaa, ona majangaa [emoji188]Kupost nipost mimi
Kuumia uumie wew.
Kumbe wewe ulitaka nikae kimyaKaleta thread nimeona nichangie. Kaileta hapa public. Namuelekeza tu aache kutuwaste energy yake kufikiria watu kwa nini wanapost maisha yao mitandaoni. Kama yeye asivyopost ndiyo wao wanavyopost. Mimi sio mtu wa kupost ila sijiulizi kwa nini wengine wanapost.
Baadhi sana ndio wanaopost hizo project za kiuchumi lakini wengi hupost hayo makalioWangekuwa wanapost mijengo,mabiashara,mandinga,uwekezaji huko insta tuhamasike lakini 99% ya posts ni kuonyesha makalio na vyakula kwenye meza tu!!
Bora umeleta. Ndo nimekuambia acha kupoteza energy yako bure kumtafakari mtu kapost fumbo labda ni ndogo la flani. Acha kupoteza energy yako kujiuliza kwa nini watu wanapost maisha yao kwenye social media. Maana hiyo haikuaffect chochote ila ukiaanza kujiuliza maswali unatumia energy yako bure.Kumbe wewe ulitaka nikae kimya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wakapeleka kwa fundi???Huwezi jua. Cha muhimu tupe sababu kwa nini haupost ?Binafsi sipost kwa sababu nahofia vijuso. Watu waweza chukua picha zako wakapeleka kwa fundi. Pia napenda tu privacy. At the same time siwezi jaji wanaopost as far as wapo OK kufanya hivyo.
Kwani uwanunulia Bando. Bando lao kama wanakukera unfollow au unfriend.Baadhi sana ndio wanaopost hizo project za kiuchumi lakini wengi hupost hayo makalio
Ndiyo kwa fundi. Huko kwenye mitandao adui yako physically anaweza kuwa rafiki yako kwenye social media.
Unaweza mind business zako kwa kutokuview status zaoMpaka sasa wewe mwenyewe umeshindwa kumind your own business kama ulivyomshauri. Yeye kauliza kwa vile social media anatumia wala hatoki kwenda nyumbani kwa mtu kumchunguza. Mtu akipost status nikaiona unatanambia nimind my own business, kwani nimeiomba. Hii kauli mnaitumia mbali sana na inapostahili kuishia.
Hawanikeri ila hii nimetoa tu kama hoja ili nipate maoni ya wadauKwani uwanunulia Bando. Bando lao kama wanakukera unfollow au unfriend.
Alafu hapo uliposema kwa fundi,siajkuelewa unamaana gani?Ndiyo kwa fundi. Huko kwenye mitandao adui yako physically anaweza kuwa rafiki yako kwenye social media.
Sasa wewe huyo fundi unayemzungumzia ni fundi yupi?Bora umeleta. Ndo nimekuambia acha kupoteza energy yako bure kumtafakari mtu kapost fumbo labda ni ndogo la flani. Acha kupoteza energy yako kujiuliza kwa nini watu wanapost maisha yao kwenye social media. Maana hiyo haikuaffect chochote ila ukiaanza kujiuliza maswali unatumia energy yako bure.