Kupost kwenye Social Media

Kupost kwenye Social Media

Mwanzo wa matatizo mengine ni kujitakia tu kwa kuweka kila kitu kwenye social media;

Umepata tu mtoto huyooo ushapost, mwingine anahangaika miaka kusaka mtoto, kwanini usirogwe mtoto afe au awe wa kuugua tu hata usimfurahie!

Umefanyiwa tu engagement huyoo ushapost (she said yes), mwingine hajawahi hata kusikia neno ndoa toka kwa mpenz wake karne inakata sasa, kwanini wasikuombee mabaya muachane!

Umenunua tu ndinga huyooo ushapost, mwingine miaka ananyunda tu kwa mguu hata baiskeli hana, kwanini usiombewe mabaya upate ajali.

Umenunua tu kakiatu huyooo ushapost picha ya miguu, mwingine hakumbuki hata alinunua lini kiatu kipya, kwanini tusitamani ujikwae na kiatu kichanike!

Umekula tu vizuri huyooo ushapost, mwingine hana uhakika hata kama kesho atakula, kwanini tusikuombee tu na wewe ukose kesho!

NB:SIO KILA MTU ANAPENDA MAFANIKIO YA MTU, AU KUONA FULANI ANAFURAHA, TUNACHEKEANA TU USONI ILA MOYONI TUSHACHIMBIANA KABURI LA FUTI MIA SIO SITA TENA, MARAFIKI NAO NI KAMA UYOGA TU, LEO MBOGA KESHO SUMU.

TUWEKE VITU PRIVATE UKIMSHUKURU MUNGU INATOSHA ANASIKIA SIO MPAKA UTAFUTE MABAYA KWA LAZIMA.
Lakini hapa kama kuna ukweli

Maana binadamu huwa hawapendi wakiona mwenzao anafanikiwa
 
Ila pia uoga wetu ni ujasiri wao. Wao hawaogopi kama kurogwa basi kina Kim Kardashian wangerogwa sana. Kina Zari n.k.
 
Mimi nadhani mleta mada yupo sahihi kabisa kuishangaa hii tabia. Kuna watu wana huu uraibu wa kurusha maisha binafsi kwenye hii mitandao hawajui kuna kitu kinaitwa Husda. Binadamu ana husda na hii huleta mikosi sana ila watu hawajui. Kumbuka kwenye maisha kuna kupata na kukosa na aliyekupa wewe ndiyo kaninyima mimi sasa unavyoposti kwenye mitandao ni kama unafarakanisha nafsi za watu dhidi ya Mwenyezi Mungu. Na kumbuka pia yeye pia alishasema kila atakayejikweza atashushwa hivyo kumbe tunajitafutia mabalaa wenyewe kwenye hii mitandao. Mleta mada nakupongeza sana kwa kuleta hii mada ili watu wajifunze kupitia kwa wachangiaji,big up mkuu.
 
Shukran sana
 
Huwezi jua. Cha muhimu tupe sababu kwa nini haupost ?Binafsi sipost kwa sababu nahofia vijuso. Watu waweza chukua picha zako wakapeleka kwa fundi. Pia napenda tu privacy. At the same time siwezi jaji wanaopost as far as wapo OK kufanya hivyo.
Nakazia hapa umeongea fact sana Dada Victoire
 
Wako sahihi. Hata facebook sehemu ya kupost wameandika "Whats on your mind?", unaandika unachojiskia.
 
Unaweza mind business zako kwa kutokuview status zao
ili mjiue kwa mawazo[emoji1][emoji1][emoji1].

maana nowadays likes na viewz zinasound kuliko neno la mdomoni.yaani kuna mtu anapata vibe moja mtandao anafarijika sana.

sasa huwezi sema mtu asiangalie wakati ukiweka status nusu sa no views unakata mood,kumbe watu wameishiwa bundle.

anyway,mletamada ana watu wake hapa anajaribu kuwaelezea,80% ya watu wanapost sababu ya kujitutumua,mpaka wanajikuta wamepost visivyo husika na watu,imagine umejenga nyumba unapost,thanks god i made it[emoji1][emoji1],kwani Mungu ana acc insta!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za jumapili

Niende moja kwa moja kwenye mada husika

Kuna hawa watu ambao wanaweza wakawa labda ni ndugu au rafiki,yaani unakuta mtu yupo addicted kupost maisha yake yote kwenye hii mitandao ya kijamii

Yaani mpaka unajikuta maisha yake unayajua kwa asilimia kadhaa kwa sababu ya kupost kwenye hizi social Media

Mpaka mtu akiwa na ugomvi na mtu unakuta anapost maneno ambayo ukikakaa ukiyafikiria unaona kabisa amemlenga mtu fulani

Sasa nyie ambao huwa mna hii tabia ,Je huwa mnapata faida gani kupost maisha yenu kwenye mitandao ya kijamii?
anayeongoza kwa hii tabia ni muimba taarab KondaBoy, kila siku yeye tu mtandaoni
 
Back
Top Bottom