bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 800
Habarini za muda huu jamani?
Tangu ile ndege ya malysia ipotee ktika mazingira yakutatanisha na dunia ukiri kusumbuka kutafuta bila mafanikio ni swali najiuliza kwamba je, technology ya ulimwengu huu ndio imeishia mwisho?Nilijaribu kufuatilia baadhi ya matukio ya kupotea kwa ndege ambazo hazijaonekana tena mpaka wa leo hii na nkagundua zinapotelea katika eneo la karibu sana na eneo ndege ya malaysia ilipotelea.
Wataalam wa maswala ya physics ebu niambieni jambo moja juu ya "BERMUDA TRIANGLE" au Devil's sea triangle.Ni kweli nguvu zilizopo katika triangle hii ni zakishirikina kiasi ambacho akili za binadamu hatuwezi tena kuzidi maarifa ya triangle hii?maana ndege nyingi zinazopotea katika sayari hii ya dunia zinapotelea hapo panapoitwa devil's sea na hazionekani kabisa.
Ni kweli tunaamini teknolojia ya juu ya rada zinazotumika pamoja na satelite zimeshindwa kudetect kabsa?
SWALI NI KWANINI ZINAPOTELEA HAPA KWENYE BERMUDA TRIANGLE?