Kupotea kwa ndege ya Malaysia

Kupotea kwa ndege ya Malaysia

akabombela

Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
28
Reaction score
7
Kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH370,je tuamini uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine(aliens)au kama wataalam wanavyowaita E.B
.Es, na vifaa vyao UFOs na namna yao ya kuweza kusafirisha watu,vifaa na vyombo vya usafiri kama ndege magari kwa namna ya kuvanish na kupelekwa sehemu wanayoitaka wao(kama ilivyotokea).wakuu maoni tafadhari.
 
Mkuu huo uwezekano upo.Uchunguzi ulifanyika wa kutosha na wizara ya ulinzi ya Uingereza kuhusu UFOs

Wakagundua kuwa hizi alien vehicles zipo
 
Kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH370,je tuamini uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine(aliens)au kama wataalam wanavyowaita E.B
.Es, na vifaa vyao UFOs na namna yao ya kuweza kusafirisha watu,vifaa na vyombo vya usafiri kama ndege magari kwa namna ya kuvanish na kupelekwa sehemu wanayoitaka wao(kama ilivyotokea).wakuu maoni tafadhari.

Naona sasa inataka kugeuka iwe Malaysia Alliens badala ya Malaysia Airlines
 
Kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH370,je tuamini uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine(aliens)au kama wataalam wanavyowaita E.B
.Es, na vifaa vyao UFOs na namna yao ya kuweza kusafirisha watu,vifaa na vyombo vya usafiri kama ndege magari kwa namna ya kuvanish na kupelekwa sehemu wanayoitaka wao(kama ilivyotokea).wakuu maoni tafadhari.

uwepo wa Aliens una connection gani na upotevu wa hii ndege?
Au unataka kusema hii ndege imekuwa abducted na hao ET?
 
ndio maana nahitaji maoni yako.kama sio inawezekanaje 777MH370ikatoweka tu isionekane na satellites zozote na wakati ilikuwa monitored?
 
dadavua kidogo hizo aliens ndo nini hasa?wengine wageni kwa hilo

9228.jpg
 
ndio maana nahitaji maoni yako.kama sio inawezekanaje 777MH370ikatoweka tu isionekane na satellites zozote na wakati ilikuwa monitored?

Ndege ilikuwa monitored kweli na ilikuwa inaonekana kwenye radar, kuna reasons wanazozitoa:
1. inawezekana ndege ilipiga short na kuharibu communication systems
2. inawezekana Pilot au wale suspected magaidi walizima vifaa vyote vya mawasiliano (kwa nini?)
3. Ndege kupotea kwenye Radar kunategemea na altitude inayoruka, kuna altitude ambayo radar haiwezi kupick chochote, Kumbuka kile kipindi cha WaIsrael walipokuwa wanaenda kuwakomboa wenzao pale Entebbe, ndege zilikuwa zinasafiri along the Nile River na zilikuwa ziko kwenye very low altitude kiasi ambacho hata Rubani aliyekuwa anaongoza alikuwa hawezi kuwaona wenzie (ndege zilizokuwa kwenye mission moja) na walifanya vile ili kuepuka kuonekana kwenye Radar na kweli walifanikiwa kutoonekana
Sasa kama ndege ilikuwa kwenye altitude ya chini sana na haikuwa picked na Radar inawezekana labda imeenda kuangukia mbali sana nje ya hiyo zone wanayoangalia sasa

4 ET?
 
Pitia international forum. Kuna mdau alianzisha topic kuhusu hiyo ndege. Title inazungumzia CIA, terrorism na hiyo ndege. Wawezapata mwanga.
 
Kiranga aje na fix zake za technologia na sayansi ilivyosonga Mbele kiasi cha radar, gis sijui GPS sijui na nini vingine plus settelite kushindwa kuona commercial jet liner ? Mungu yupo na siri zake zimefunuliwa kwa wachache huku atheist wakibaki kujidanganya na technologia ambayo imeshondwa kuona Boeing 777-200. Kiranga anza kumwaga kariri zako tuone ulivyo mtupu kufikiri ukiendelea jidanganya kwamba techn na sayansi vinajua mambo mengi wakati vonayajua machavhe na Hayo machache viyajuayo vinajua kiduchu tu. Hakuna radar, setelite wala nini katika dunia yote Hata ya mungu wenu amerika iliyoweza kuona commercial jetliner angani...
 
Last edited by a moderator:

Una chuki binafsi na Kiranga? Kama hukubaliani na hoja zake basi toa hoja zako tuzione sio unatoka tu povu hapa. Bora Kiranga anaweza kutumbia kilichotokea kwa mawazo yake kuliko wewe unaeishia kutoka povu tu.
 
Kuna hater kapita chini ya radar kumbe?

Ngoja nim blast sawasawa.

Blowing holes in his weak theories and hollow conjectures.

With my phenomenal lectures.
 
Back
Top Bottom