Kupotea kwa ndege ya Malaysia

Kupotea kwa ndege ya Malaysia

Kiranga aje na fix zake za technologia na sayansi ilivyosonga Mbele kiasi cha radar, gis sijui GPS sijui na nini vingine plus settelite kushindwa kuona commercial jet liner ? Mungu yupo na siri zake zimefunuliwa kwa wachache huku atheist wakibaki kujidanganya na technologia ambayo imeshondwa kuona Boeing 777-200. Kiranga anza kumwaga kariri zako tuone ulivyo mtupu kufikiri ukiendelea jidanganya kwamba techn na sayansi vinajua mambo mengi wakati vonayajua machavhe na Hayo machache viyajuayo vinajua kiduchu tu. Hakuna radar, setelite wala nini katika dunia yote Hata ya mungu wenu amerika iliyoweza kuona commercial jetliner angani...

Kupotea kwa ndege ndiyo kuna prove kwamba mungu yupo?

Kama mungu yupo, ana uwezo wote na upendo wote, kwa nini aumbe ulimwengu ambao dege linaweza kupotea kwa wiki nzima na kuweka watu roho juu?

Ni kwa sababu hakuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu bora zaidi?

Au alikuwa na uwezo lakini hakujali tu?

Una bash science wakati hapohapo unatumia internet?

What kind of ignoramus are you?
 
Last edited by a moderator:

Umejitahidi kutoshusha kariri nyingine zaidi ya nilizozoea Kuziona. Mungu kaumba pasipo makosa ni ninyi mnaotumia ulimwengu alioumba kwa kutumia parameter zenu na kujipa kiburi cha ujuzi ambao hamnao" watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" kukosa maarifa kwa binadam wayaka Mungu atwishwe lawama ? Ukijinasibu na ujuzi ulipofikia sikutegemea kwamba ujuzi wenu na tambo zenu zishindwe kuona object kama commercial jetliner angani huku mkivumbua nyota na sayari mbali kabisa na anga litumiwalo na jets... Kutumia internet hakuondoi ukuu na uumbaji wa Mungu wa hakuniletei haki ya kuhoji matendo yake makuu na ya ajabu.
Ukibeza kuwepo kwa Mungu unJificha nyuma ya sayansi japo kubeza uwepo wa Mungu ni imani tu, huku ukipnyesha kwamba sayansi imewezesha wanadam kuona sayari zibgine zilizo mamilioni ya kilometer toka dunia huku ikishindwa kuona jetliner iliyo kilometer 40 ? Mbwembwe zisizo na mashiko ndizo nazipinga. Kusoma mungu hayupo ni imani na sio ujuzi wala sayansi, unaizingixia sayansi ili ufiche udhaifu wako wa kutafakari...
 
Hujajibu maswali.

Nani kasema sayansi ina majibu yote?

Na nani anaamua kipi ni kigumu kuona kati ya sayari iliyo light years away na ndege iliyopo duniani?

Unataka kujibu maswali magumu kwa majibu ya simpletons?
 
Mkuu, nakushauri upitie kwanza ile post niliyoitaja hapo juu, pengine unge-appreciate mawazo yaliyotolewa huko.
 
Watu wanapoteza simu wanalia wakati kuna washkaji wamepoteza ndege hadi sasa haijaonekana.
 
Ndio maana wataalamu wa masuala ya ndege duniani wameamia Malaysia...

Mimi sidhani kama kuna aliens ila ni tukio geni ambalo limefanya existing knowledge na technology kuwa obsolescent...ni challenge ambayo itawafanya wajifunze kitu ili kuboresha usafiri wa ndege...

Kuna mshikaji ananambia eti waziri mkuu wa Malaysia ameita waganga wa kienyeji airport te te te...Wamalaysia wamekasirika eti kawadhalilisha
 
Kuna jamaa yeye anasema waende wakacheki moon, wakiikosa waende Pluto kama nako haipo baaasi waende Nigeria wakamuone TB Joshua...te te te
 
Hujajibu maswali.

Nani kasema sayansi ina majibu yote?

Na nani anaamua kipi ni kigumu kuona kati ya sayari iliyo light years away na ndege iliyopo duniani?

Unataka kujibu maswali magumu kwa majibu ya simpletons?

Kilichokufikisha kwenye Imani yako ya "hauna Mungu" ni imani yako ya kuiweka sayansi kwenye taswira ipnekana kwamba ina majibu mengi kiasi cha kumfanya Mungu muumba wa hata muziitazo kanuni za kisayansi aonekane hana maana. Ni mfano mdogo sana wa jetliner la Malaysia kukwepa technologia yenye GPS na radar kibao na kupotea bila kuonwa angani ! Au angani kuna milima kiasi kwamba technologia ya wamarekani kulinda anga ilizibwa isiione jetliner ?
 
Kama ku question/ kataa uwepo wa mungu ni imani basi upara ni style ya nywele.

Kama unatafuta cha kuabudu katika sayansi unapafuta pasipo.
 
Watu wengi hamjaelewa nini ni nini hapa,unaposema sayansi imeshindwa na kusema kwamba hiyo n kaz ya mungu unanipa was was kwamba hata kile unacho kisema hukijui bali uko upande wangu kwamba hakuna mungu.maana kama mungu yupo,why should he test us by doing this??,kwa nn afanye jambo hilo??na kwa kwa nn basi msiwaulize wale mnaowaita watumishi wa mungu mnaowapelekea kila weekend pesa??,kwa nn juyo mungu asiwaambie hao ndege hiyo ilipo ili kuthibitisha uwepo wake(mungu?? ),unapomuhukumu mwana sayansi na kumpa lawama unadhihirisha kwamba hujui uwepo wa mungu.kila siku kiranga anawauliza kama kweli huyo mungu yupo kwa nn ameumba ulimwengu ambao maovu kama haya yanawezekana???, em fikiria eti ukifa akuchome moto,does it bring any sense????.ni kwa nn basi asijidhihirishe kwenu wakati huu wa tatizo na fumbo zito kwa wanadam ambalo linaonekana kuumiza vichwa vywa watu??#mbona hata wana dini hawajafungua vinywa??,tatizo dini huwa haina solution ila sayansi ina majibu,sayansi itakwambia nini kinaweza kuwa kimetokea,ila dini watakwambia hiyo n kaz ya mungu.narudia tena kusema kwamba siku mkiujua ukwel mtakuwa. Huru
 
​Mwanasayansi alitengeneza ndege na kwa uelewa wake akawahakikishia wanadamu wenzake kuwa ni chombo imara na madhubuti kwa safari za angani

pia akaweka vitu vya kujiokoa pindi hatari inapotokea. Na hata kabla ya ndege ya Malaysia haijaanza safari, wanasayansi waliwahakikishia watu kuwa watasafiri salama na kufika salama.

kwa uelewa wa wanasayansi waliamini hivyo. Na huo ndio ulikuwa mwisho wao wa uilewa.

kwa kuwa wanasayansi hawaamini kuna ANAYEPANGA MAJIRA aliyeweka usiku na mchana anayetoa hewa bila upendeleo awe mwenye pesa na asiyekuwa na pesa.

Anamuonesha mwanasayansi kuwa yuko mwenye mamlaka zaidi ya upeo wake.

Dunia iliwekwa kwa ajili ya makazi ya viumbe na ilikuwa haina uchafu wowote.

ila kwa sababu ya wanasayansi kwa kutaka kufanana na ALIYEUMBA DUNIA, wameichafua dunia kwa kujaza uchafu unaotokana na viwanda. Wameweka silaha kubwa. Wamewajengea watu hofu kubwa . Wanasababisha wanadamu kwa kutumia vyombo vyao walivyovitengeneza kama ndege, meli, magari, kutangatanga duniani.Na Mara nyingi kila wanachokitengeneza ni lazima mwisho kilete madhara au kisiwe cha kudumu.

Na mara nyingi Mungu hutumia matukio fulani kuwaonesha wanasayansi kuwa hawajui.
 
Carl Sagan once said extraordinary claims must be backed by extraordinary evidence.

And how do you think about such evedence? The way I figure it out, it should be something which may or may not be rooted under empericism, but then I note that there is always a problem with you because you do not accept this. You always ignore the fact that not everything true and logical/illogical should be rooted under empericism. There are actually non emperical evidences, whether logical or illogical, that are always true and I guess these are the ones which this friend is referring to them as extraodinary evidences. I like his line of thinking!
 
Non-empirical evidence such as?
 
Ndege ilikuwa monitored kweli na ilikuwa inaonekana kwenye radar, kuna reasons wanazozitoa:
1. inawezekana ndege ilipiga short na kuharibu communication systems
2. inawezekana Pilot au wale suspected magaidi walizima vifaa vyote vya mawasiliano (kwa nini?)
3. Ndege kupotea kwenye Radar kunategemea na altitude inayoruka, kuna altitude ambayo radar haiwezi kupick chochote, Kumbuka kile kipindi cha WaIsrael walipokuwa wanaenda kuwakomboa wenzao pale Entebbe, ndege zilikuwa zinasafiri along the Nile River na zilikuwa ziko kwenye very low altitude kiasi ambacho hata Rubani aliyekuwa anaongoza alikuwa hawezi kuwaona wenzie (ndege zilizokuwa kwenye mission moja) na walifanya vile ili kuepuka kuonekana kwenye Radar na kweli walifanikiwa kutoonekana
Sasa kama ndege ilikuwa kwenye altitude ya chini sana na haikuwa picked na Radar inawezekana labda imeenda kuangukia mbali sana nje ya hiyo zone wanayoangalia sasa

4 ET?

Kwa ndege ya abiria tena kama hii ya Malaysia ni ngumu tembea kwenye low attitude hata siku moja kwasababu ni ya abiria [labda iwe imetekwa]. Wawasiliano ya mwisho yaliyofanywa na rubani ndege ilikuwa kwenye altitude 35,000f/ 11km above the sea level ambao ni altitude salama kwa ndege. Maswari yako mengi sana ya kujiuliza mkuu.
 
9228.jpg
Mkuu tuache masiara! Ivi ni kweli imethibitika uwepo wa hivyo vinyamburiro?

Na uwepo wa vyombo hivo je?
 
Back
Top Bottom